Search results

  1. I

    Dhahama ya madini hadi lini?

    kuna siri nzito sana katika huu mgodi......... JK analea ubovu huu sababu ni marafiki zake
  2. I

    Eti ni Haki yake Maalim Seif Kutibiwa nje ya nchi

    haki yake kama viongozi wengine wanavyo tibiwa
  3. I

    JK na EMANUEL LUHAHULA wana mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya KIGOSI wilayani BUKOMBE

    hata mimi ni mzalendo watoto wangu wanasoma shule za kata
  4. I

    JK na EMANUEL LUHAHULA wana mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya KIGOSI wilayani BUKOMBE

    mgodi ni wa kampuni ya tancan mali ya sinclair, jk ni shareholder katika mgodi huo. kiongozi wa kampuni hiyo kwa hapa tanzania ni mtoto wa mzee kahama anaitwa joseph. ubalozi joseph atakaopewa hivi karibuni ni fadhila za huo mgodi
  5. I

    Who is Martine Shigella?

    1, DC wa zamani wa lindi 2, ****** na membe walimpa ukatibu uvccm kwa kazi maalum 3, kazi yake kubwa kushawishi uvccm kumkubali membe 2015 4, membe anampa kiburi cha kuongea ovyo
  6. I

    Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

    kwa taarifa yako membe hana shida na hela za kampeni..... amepewa na wafadhili wake hela ya kutosha
  7. I

    Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

    membe hana shida ya hela 2015 atafadhiliwa na mwenye kempnski na washikaji zake wakubwa mkwere na sinclair
  8. I

    Yu wapi mke wa Rais Mama Salma?

    madam yuko safari nje ya nchi anaterejea kesho saa 9 mchana
  9. I

    JK kaacha kishindo Dar?

    mkurugezi mkuu wa usalama wa taifa - kosa lake ameshindwa kufanya kazi ipasavyo ana lalamika ovyo
  10. I

    JK kaacha kishindo Dar?

    mkuu usalama kuna waka moto.... mtu aliyenipa hizi data ni wa uhakika. masha mabinti wa kizungu watamkoma.. joseph nasikia kazaa na ps wa membe. mkwere analipa fadhila kwa washikaji zake si unajua hakuna cha bure
  11. I

    Tahadhari mnaopenda kuchukua wasichana warembo

    acheni kuzoa ovyo, si kila king'aacho ni dhahabu:mullet:
  12. I

    Wanawake kuwa na mkono wa birika

    Si wanawake wote wako hivo. wanawake wengi tu wanasaidia wanaume zao
  13. I

    JK kaacha kishindo Dar?

    kishindo ni kuwa: -othman rashid amestaafishwa kwa manufaa ya umma -lawrance masha ateuliwa kuwa balozi nchini Switzerland (JK analipa fadhila za IMMA kumwajiri riz1) - balozi wa sasa ana staafu -richard kasesera awa balozi nchini msumbiji (JK analipa fadhila za richard kuwa mpiga debe hodari)...
  14. I

    Hodi hodi

    Nashukuru kwa upendo wenu, nimekaribia
  15. I

    Hodi hodi

    Napenda kuwapongeza kwa mawazo yenu mazuri ambayo yana saidia sana jamii. Nami nimeona ni vema niwe katika kundi hili jema. Nawasilisha
Back
Top Bottom