Search results

  1. M

    Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

    Rafiki wakubwa wa Gadafi wa kiafrika walikuwa Maraisi WAKRISTO, na nchi alizozisaidia nyingi zina idadi kubwa ya wakristo, k.m. Mugabe & Zimbabwe, Museveni & Uganda, Kibaki/Uhuru & Kenya, na hatujaona akiwashawishi kuingia uislamu. Hizo zilikuwa fitina za Nchi za Magharibi. Tuatacha lini uzembe...
  2. M

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Swali jee utafiti umefanywa kuhakikisha hivyo virutubisho ni vizuri kwa watoto wetu, visine kuwa na Virutubisho vya kujenga marekebisho ya JINSIA ya Vijana kuwa vinginevyo. Maana siku hizi kuna hila za kupunguza idadi ya watu, haswa barani Africa
  3. M

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Sio unafiki, kila mtu ana mazuri na mabaya take, ukiwa Hai unapewa za usoni kuhusu ubaya wako WOTE, siku ukifa uzuri uliozikwa miaka Kenda unafukuliwa. MZANZIBARI NAWE WACHA UNAFIKI JITINGE KWENYE UKWELI
  4. M

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Huyu kamtetea JK kawa Chawa, jee angemsifia Lowasa angeitwa mdudu gani?
  5. M

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Kwa hivyo hao wanao mremba Lowasa nao WOTE NI wanawake?
  6. M

    Lowassa hakuwa malaika, alikuwa kiumbe kama wengine na alikuwa na dosari zake. Mungu amuweke pema peponi

    Wacheni ujinga na unafiki, Leo Lowassa katangulia WOTE tunampaka maradhi na kumfukiza Udi. Tuache unafiki. Lowassa alikuwa KIONGOZI mzuri lakini alikuwa na makandondo yake. 1. Lowassa Akipokuwa PM, alikuwa mla Rushwa Mkubwa Sana hata akapewa jina la MR 10%. 2. Aliua watu KISIASA haswa wake...
  7. M

    Ajali za Kisiasa za kutengenezeana zinavyoua ndoto za Viongozi wetu bora

    Wacheni ujinga na unafiki, Leo Lowasa katangulia WOTE tunampaka maradhi na kumfukiza Udi. Tuache unafiki. Lowasa alikuwa KIONGOZI mzuri lakini alikuwa na makandondo yake. 1. Lowasa Akipokuwa PM, alikuwa mla Rushwa Mkubwa Sana hata akapewa jina la MR 10%. 2. Aliuwa watu KISIASA haswa wake...
  8. M

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Ndugu kama unataka kufananisha udhalimu WA viongozi WA kidini, basi ukae ukijua HAKUNA VIONGOZI WA KIDINI MATAPELI , WASHARATI, MALAYA, WAONGO, WANAFIKI NA WAUWAJI KAMA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI NA VIONGOZI WA BAKWATA, hao wanabeba kombe kila mwaka. NINA ZUNGUMZIA VIONGOZI NA SIO WAUMINI
  9. M

    Sasa ni dhahiri CCM inamuogopa Mbowe, lakini unadhani ni kwanini inamuogopa kiasi hiki?

    Wewe NI Kunguni Uliyeiva na karibu utapasuka kwa uvinbe WA ujinga na uzembe. Naitambua michango kwa muda mrefu na mingi NI ya ovyo ovyo . Mbowe haogopewi Bali anastahili heshima kwa sababu naye anaheshimu watu na anajiheshimu period.
  10. M

    Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

    Siasa sio vita. Makonda anahitaji kutafakari juu ya matumizi ya vijineno vinavyoweza tafsiriwa vibaya au kutuletea uchochezi
  11. M

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Tundu Lissu akifanikiwa URaisi, ataiingiza Tanzania kwenye Historia ya Dunia na Gueness Books of Record, kuwa Nchi ya Kwanza Africa kuteuwa Mawaziri MASHOGA, na ata Bariki na kuifanya Sheria ya NDOA ZA NJISIA MOJA kutumika TZ. Pia ataueneza ukabila, kwani hatateu Waziri au KIONGOZI yoyote mwenye...
  12. M

    Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

    Mbona huu NI kama msafara WA Ruto juke Kenya, wakati WA uchaguzi
  13. M

    Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

    Ukisikia ujinga WA kukaririshwa, basi ndio huu. Tatizo la Chadema na viongozi wake Mashuhuri na shupavu, halikuanza na Akina Zitto, hebu fuatilia tokea chama kuanzishwa, kila akitokea mpambanaji mzuri na akapata umaarufu mkubwa na kupenda, na kama hatokei maeneo ya mlima K, basi lazima wafanyiwe...
  14. M

    Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Huo NI ushauri wao, sio uamuzi. Tuwe makini kwenye hoja zetu.
  15. M

    Bariadi: CHADEMA haikusubiri mwaka Upauke. Yaanza vikao vya Ushindi haraka

    Ndugu Mbona kila siku tunakaa vikao vya kila aina, na hatubalishi lolote, tunachobadilisha NI mbinu za kelele majukwani, na wapaaza kelele zetu na kebehi NI wale wale tuu. Hebu ona wakati Lissu na Lema waendapo kwa watoto wao Canada na Belgium, kelele na kebehi zinapungua, kwani HECHE anabaki...
  16. M

    Kwanini Mzee Kinana amewapiga stop wagombea Urais ndani ya CCM miaka miwili kabla ya kufika tarehe ya Uchaguzi?

    Mbowe ni Mfalme hawa WA CCM NI Watawala, Matalan anachaguliwa na ana kikomo cha kutawala, lakini Mfalme NI mwenye nchi na watu wake, wote NI Mali zake na hawekewi Sheria na watumwa wake. Hiyo ndiyo tofauti kati ya MFALME na MTAWALA.
  17. M

    Familia ya Godbless Lema ni familia bora ya wanasiasa kwa mwaka 2023

    Miaka kama 10 iliyopita nikiandika humu jukwani kuwa LEMA atashindwa uchaguzi na ategeuza kibali na atajenga Kanisa lake na atajibatiza kuwa NABII. Naona SASA Hugo utabiri wangu unakaribia kukamilika. Naona tumeshaanza kuwaona wapambaji wake wakija na kila Aina za sifa za kutengenezwa...
  18. M

    Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

    HIZI NI ZA SASA:: Singapore, UAE, Qatar, Saudi Arabia, China, Taiwan, Vietnam, India, Cambodia, Indonesia, HIZI NI ZILIZOTANGULIA: Great Britain, France, Italy, Spain, Portugal, Germany, Russia etc Tawala zote za ulaya maendeleo yalianzishwa na tawala za KIFALME .
  19. M

    Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

    Hakina chuki kwa alichokiandika ni actual facts, ametumia UTUMWA kwani katika nchi alizozitaja UTUMWA ulitumika Sana USA, Canada kwa wastani, India ni Ukoloni walitawaliwa na Uingereza. Na title ya post yake amezungumzia UDIKTETA NA UTUMWA, hizo nchi za SCANDINAVIA na JIRANI ZAO, Hugo kulikuwa...
Back
Top Bottom