Search results

  1. Lugovoy

    Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Mimi nahitaji anayekuja kufanya usafi over the weekend, siku moja na anaondoka, maslahi tutakubaliana.
  2. Lugovoy

    Nipeleke wapi Bajaji?

    Changamoto ya wizi imekaaje
  3. Lugovoy

    Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

    Hata Brigedia Mkeremy pia yuko huko TFS
  4. Lugovoy

    Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

    Bonge la ushauri, mtoa maada zingatia hii.
  5. Lugovoy

    #COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Kuna kitu kinaitwa International Health Regulations (IHR) 2005 inatubana kwenye hili, busara inatakiwa kutumika hapa kuepuka mgongano.
  6. Lugovoy

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Wakuu habari ya majukumu, Nina changamoto kwa kuku wangu (kienyeji) naombeni msaada na uzoefu wenu kwenye hili. Nimeanza huu mradi mwezi mmoja sasa. Kama siku 10 zilizopita nimempoteza kuku mmoja baada ya kuugua ndani ya masaa 24. Alianza kuwa mnyonge, hatoki bandani Wala kula. Akaanza...
  7. Lugovoy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna Mzee mmoja, mtu wa makamo kidogo, nadhani anakaribia kustaafu pale nje mapokezi kwenye mabenchi ana majibu ya hovyo, very irritable, kama sio mvumilivu unaweza muanzishia ugomvi pale, mwambieni ajirekebishe.
  8. Lugovoy

    Medical Doctor (MD) anahitajika

    Uanze tu kuulizia job contract wakati hata hiyo kazi yenyewe haijulikani, kwani kuna tatizo gani tangazo likiwa very clear na kuondoa mkanganyiko huu usiokuwa na lazima
  9. Lugovoy

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Shukrani Dr. Kwa maelekezo mazuri sana. Hizi Infra red light bulbs naweza pata kwenye Agrovet stores, ama ni kwenye maduka ya vifaa vya umeme?
  10. Lugovoy

    UFISADI: Waziri Mkuu amsimamisha Mhazini wa TPA na wengine. CAG aagizwa kufanya ukaguzi haraka

    Dr. Ludovic Uttoh alifanya kazi nzuri sana pia
  11. Lugovoy

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Ahaa basi sawa, naona nilitoka nikamiss hiyo ya huyo wa viwanda, nikadhani ni yule mama ndio katumbuliwa.
  12. Lugovoy

    Nimedisco baada ya kukamatwa namfanyia mtihani Mwanafunzi mwenzangu

    Ushauri mzuri; Kuna mwenzetu alifukuzwa tukiwa mwaka wa pili, akaomba chuo kingine mwaka uliofuata, kozi nyingine, tuka graduate wote mwaka mmoja.
  13. Lugovoy

    Kati ya Forestry na Banking and Finance asome nini?

    Habari ya majukumu members; Tafadhalini saana, naomba ushauri wenu ili niweze kumsaidia mdogo wangu kufanya uamuzi wa busara. Mdogo wangu jinsia KE amebahatika kupata admission ya kozi mbili; 1: Bachelor in Finance and Banking, hapa amepata mkopo wa bodi kwa 30% ya tuition fee + meals and...
Back
Top Bottom