Search results

  1. H

    Dark days 17/03/20...

    Mkuu Nguruvi3, Shukrani sana kwa uchambuzi makini kuhusu muungano, inachanganya sana kuwabebesha watanganyika mzito bila huruma. Usichoke kuendelea kutufungua akili sisi watanganyika.
  2. H

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Pumzika kwa Amani William
  3. H

    Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

    Kama wewe ni mcatholic nenda kanisani ukachukue Maji ya baraka nyunyizia ndani na nje ya nyumba yako alafu ulete ushuhuda.
  4. H

    Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Rest well Man of God,till we meet again.May your Soul Rest in eternal Peace. Amen
  5. H

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Heshima kwako Mkuu, upatapo muda tafadhali naomba msaada wa mafekeche ya address zote za viwanda vya chakula cha kuku huko Kenya. Ubarikiwe sana
  6. H

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe, Said Mabera afariki dunia

    Pumzika kwa Amani Said Mabera.
  7. H

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe, Said Mabera afariki dunia

    Pumzika kwa Amani Saidi Mabela.
  8. H

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Huyo mdada mkenya anaekuja kununua dagaa wa mchanga (wachafu)kwa ajili ya kutengeneza chakula cha kuku. Natafuta soko la kuuza dagaa wa mchanga (wachafu). Shukrani sana mkuu.
  9. H

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Mkuu naomba uniunganishe na huyo jamaa mkenya tufanye biashara.
  10. H

    Omega Ngowi: Rubani mdogo mwenye ujasiri

    Hongera sana binti Omega! Unastahili pongezi keep it up.
  11. H

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mwenye uhitaji wa dagaa wa Mwanza waliokaangwa au wakavu kwa biashara ndani ya jiji la Dar au Mikoani tunatuma mzigo tuwasiliane;+255 755 572 947.
  12. H

    Afrika haitakuwa kwenye hali mbaya dhidi ya Covid-19

    Amen, Barikiwa sana mtumishi.
Back
Top Bottom