Search results

  1. F

    Maumivu yashingo

    Unachosema ni kweli ila huyu daktari ni kati ya wale anoitwa 'physician' wa hospitali kubwa ila siku hiyo alikuwa katika hospitali ya binafsi-tatizo ni kwamba madaktari wa aina wanapoenda katika hospitali za bianfsi wanakuwa na presha kubwa ya muda mchache na watu wengi hivyo kujikuta...
  2. F

    Maumivu yashingo

    WADAU NIN MAUMIVU YA MUDA MREFU YA SHINGO, KUANZIA KWENYE MABEGA MPAKA SEHEMU YA JUU KICHWA KINAPOANZIA. sASA KWA MUDA MREFU NIMEMEKUWA NA MAUMIVU HAYO MPAKA HIVI KARIBUNI NILIPTA AJALI YA GARI LTU LILGONGWA KWA NYUMA. MIMI NILIKUWA NIMEKAA KITI CHA NYUMA GARI NDOGO TOYTA MARK II NILIPTA MAUMIVU...
  3. F

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Nashukuru kwa kunifumbua swla hilo, kwani huyo mtoto anasoma boarding darasa la tano, sasa nilivyomuona anaathirika kisaikolojia, inga waalimu wamesema wapo watoto wengine wa form one na two bado wanendelea na tatizo hilo. Asante
  4. F

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Asante sana ndugu yangu ushauri wako ni mzuri hasa kwa kunipa hiyo link, lakini yule wa kuuwa kanyoka naona anataka anataka kumchanganya mtoto kiakili.
  5. F

    Ni ipi dawa nzuri 4 malaria?

    Sidhani kama siku hizi kuna dawa ya mararia sasa hapa kwetu tanzania nyingi zinonekana ni feki hata za msd kwani nazo zinatioka kwa hahao wahindi na wachina na kuna siku za nyuma niliwahi kuskia idhaa ya kiswahili ya bbc kua duniani kote kuna dawa nying ambazo ni feki waathirika wakubwa...
  6. F

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Wadau naomba ushauri na tiba kama ipo kwa binti yangu mwenye umri wa miaka 10 sasa. Amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kukojoa kitandni tangu alipokuwa mdogo, mbaya zaidi ni kwamba sasa hivi tumempeleka Boarding school-shule ya msingi. Tatizo hili linaonekana kumuathiri kiakili na nina...
Back
Top Bottom