Search results

  1. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kabisa, nimeona report za mishahara kwenye vilabu vya ligi bora 5, Ndugu zetu wanaongoza. Nimejiuliza wanamlipa nani mshahara mkubwa considering age ya wachezaji na viwango uwanjani... Perez yupo vizuri sana.
  2. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hatimae. Nimependa tu hii ya kuja kwa terms zetu
  3. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Unaandika pumba tu... Hembu nionyeshe mahali nimelinganisha wachezaji wa Madrid..Wewe uliesema hakuna kitu anafanya uwanjani zaidi ya kuanguka tu ndio utuambie imekuaje katajwa mchezaji bora wa pili... Utakua ulikimbia umande wewe sio bure.
  4. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Jamaa walituvuruga sana, individual brilliance ndio imetuokoa, ila team wise jamaa walikua na intensity kubwa sana..
  5. Platnam

    Hatimaye Boss kaoa

    Watu wanaoa wanawake wanaojitambua sio wanaoringia sura na makalio wakati kichwani hamna kitu
  6. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Narudia tena huelewi unachoandika. Acha kuangalia matokeo ya mpira goal score alafu unakuja na analysis zako uchwara.
  7. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hujui unachoandika
  8. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    We hua unaangalia mechi au unasubiri matokeo? Kuna wengine hua mnaangalia score line baada ya mechi alafu mnazungumzia viwango vya wachezaji.
  9. Platnam

    Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Sasa nini cha kushangaza hapa?
  10. Platnam

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hakuna Blaugranas humu, asilimia kubwa ni shabiki wa Mess, wamehamia ligi ya US huko
  11. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Credit ziende kwa Camavinga na Modrich... sub yao ilibadili game kabisa
  12. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tupo slow mno. Ikitokea counter unakuta ni mtu mmoja tu pembeni, hata akienda mbele hamna cha maana.
  13. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hapa kuna kila haja ya kubadili kocha kama hawezi kubadili hii style tunachezi. Sioni ikitupeleka popote.
  14. Platnam

    Paa za kujificha na Paa za kuonekana

    Gorofa hua zina shade kumbe?
  15. Platnam

    BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

    Hizi gari zinakotoka tu wenyewe wanalalamika, ije kua bongo.
  16. Platnam

    Mipango miji: Sehemu za wazi kufanyia mazoezi hasa calisthenics zipo wapi?

    Nchi bado haina uwezo wa kutoa basic needs za uhakika we unawaza haya?
  17. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Vin, rodr, Kamavinga?
  18. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mmeshindwa kulipa, mnataka kulipa kwa mafungu kama vikoba. Hakuna timu inafanya hizo biashara
  19. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kiungo wa nini wakati wapo wa kutosha?
Back
Top Bottom