Search results

  1. H

    Sheria inasemaje baba anapotaka kuchukua mtoto aliyezaa na mwanamke ambae hajaoana nae?

    Mi nadhani hapo cha kuzingatia ni malezi bora kwa mtoto kwanza, bila kujali itikadi pamoja na tofauti baina ya wazazi hao, chuki na uhasama visiathiri welfare ya mtoto huyo. Sio kosa kama mtoto atalelewa na mzazi mmoja!
  2. H

    Moral and legal obligation

    Inawezekana huyo bibi kizee wakati anafanya makubaliano hayo na hata kipindi anachukua fedha benki hakuwa anaelewa anachokifanya kutokanan a uzee wake labda, inategemea alikuwa na umri gani, kwani inasemekana uzee ukizidi sana tabia zinabadilika mtu anarudi kwenye utoto na kufanya mambo kama...
  3. H

    Ajira na kazi(kisheria)

    Kuna wakati wadau wa masuala ya ajira walijaribu kulivalia njuga suala la kuandikishana mkataba kati ya muajiri na muajiriwa wa,sekta,binafsi, mfano mmiliki wa daladala au taxi na dereva, lakini sijui jitihada hizo zimefikia wapi hadi hivis sasa...! Nadhani suala hili lina umuhimu wake.
  4. H

    Swala la fumanizi kisheria likoje.

    :decision:Kwa mwanaume akimfumania mke wake akifanya uzinzi, anaweza kumshitaki huyo mwanamume mzinzi moja kwa moja mahakamani kudai fidia kwa tendo hilo. Upande mwingine mume au mke anaweza kwenda kulalamika dhidi ya mwanandoa mwenzake kwenye baraza la usuluishi la kata katika eneo analoishi...
Back
Top Bottom