Search results

  1. R

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Hehe... nmeipenda hii! CUF na CCM wamecameroniana c bure! Bigup CDM kwakweli nyie mmeonyesha nia ya dhati kbs ya kuleta mageuzi nchini. baada ya miaka 50 ya uhuru CCM wameprove a total failure. its high time now we need a change. CDM ndio chama pekee kinachoonyesha seriousness ya kuleta...
  2. R

    CCM Arusha kwatifuka: Mary Chatanda akataliwa; yeye asema "sing'oki"

    CCM nchi imewashinda ss. Moro madereva wagoma tena. Kila kona ni violence against the system. ****** using'ang'anie vitu usivyoweza urais co lelemama.
  3. R

    Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    Huyu R1 ni mshamba cjui alikua anaishi msoga kipindi chote mpk zali lilipomuangukia mshua wake! Haoni watoto wa wakubwa wengine walivyotulia? Cheki wa Lowassa ingawa babayao ni fisadi cku nyingi lakini wao wapo kama hawapo huwezi kuwackia hata wakimtetea babayao. Likewise wa Mkapa, Mwinyi...
  4. R

    Zitto, Lipumba na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA

    Jus tell us mnawacliana nn na Rostam ambae chama chako kinamtaja kua fisadi na1? Wat bussines do u have with this guy? We ni mpelelezi frm Takukuru? Hapana. what do u guys normally talk about? Kama co kukihujumu CDM? Nawapongeza Mwanahalisi ambao waliweza kuprove kwamb u had communications wth...
  5. R

    Zitto, Lipumba na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA

    Unasema unataka ushahidi wa content ya mawasiliano yako na hao mafisadi ikiwa proved km unahujumu chama then utawajibika! The fact kwamba umekubali kua unawacliana nao inatosha kbs kwa cc kukudiscredit muheshimiwa. How come unawacliana na watu km kina Rostam according to mwanahalisi alaf still u...
  6. R

    Loliondo: Kama ni Lowassa tumeliwa!

    Hamjaumwa nyie magonjwa sugu mkapata tabu miaka mingi bila matajio ya kupona! Mkiumwa serious cku moja mtamtafuta babu wa loliondo hata km akihamia kwa Gaddafi!
  7. R

    Jamani nani kamuona prezdaa wangu JK kipenzi cha wengi+1st Lady Mama K, nimewamiso!

    Huna lolote! Hujawamiss wala nn! Unatuchokoza tu watu tuanze mwaga hacra zetu.. Wasanii wale waliopiga bao kuingia ikulu! Cjui waliloga wapi
  8. R

    Kumbe rais wetu nchi nyingine anagombewa?

    Kwani hata sisi c tulimkubali kichwakichwa 2005? Kumbe malaria haikubaliki bwana. Tutaumwa mpk 2015 kama haijatuua
Back
Top Bottom