Search results

  1. M

    Nafasi za kazi Magereza,JWTZ na Polisi.

    But yet we need people to join our forces regardless what, sina uhakika ni wapi katika nchi hii hakuna uozo. Tatizo ni kwamba pamoja na elimu yako unahitaji mtu wa kukushika mkono kupata kibarua. Watu pia wanapenda fani tofauti, huwezi kumlazimisha huyo mdogo wake kwenda THT!!!!!!
  2. M

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    What I'm afraid of is, "What if this is just a tip of an ICEBERG?", na kwamba GAME hii inachezwa na wizara zote?
  3. M

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    A tip of an ICEBERG! Hicho kitakuwa kiyama cha nchi.
  4. M

    Samaki wa Magufuli

    Inasemekana kuwa ile meli iliyokamatwa ikivua kwenye pwani yetu ilipata kibali toka Zanzibar, sasa nini kilitokea hadi washindwe kuonyesha kibali hicho mara tu walipokamatwa hadi ikapelekea kesi ichukue muda mrefu hivyo?. Wasiwasi wangu ni kwamba mafisadi wamejipanga kucheza game nyingine ya...
  5. M

    Kibonde kutukana "mamayo"wafanyakazi wa atcl ni taaluma ama upumbavu??waombe radhi hawa wazee wako

    "K***mako wewe umeifanyia nini atcl miaka yote hiyo" hivyo ndivyo alivyosema. wakati wale mazuzu wenzake wanachekelea. Nilishangazwa nikajiuliza kama wako studio au baa!!!
  6. M

    Mabere Marando...........

    Kuna mazingaombwe yalitokea wakati fulani kwenye mchakato wa wabunge wa Afrika Mashariki ambapo alionekana kuingia kiaina ambapo wengi iliwaacha midomo wazi!!!
  7. M

    Utaratibu mpya wa udahili vyuo vya elimu ya juu Tz

    Ok thanx nitajaribu kuamka wakati kama wa kula daku may b I'll make it.
  8. M

    Utaratibu mpya wa udahili vyuo vya elimu ya juu Tz

    Nina wiki sasa najaribu kumsaidia binti yangu 2 register on line but ending up with "Oops! Internet Explorer could not connect to cas.tcu.go.tz" What's happening!, msaada wajameni siku zinaenda
  9. M

    Scientists crack 20-year Aids puzzle that could revolutionise latest HIV medicines.

    Ni habari ya kutia moyo kuhusu cracking ya Aids puzzle lakini cracking ya chanzo cha AIDS nayo naona kama pia ni puzzle lakini Dr. Boyd Graves anatuleza vingine nenda http://www.boydgraves.com/timeline/.
  10. M

    Barabara ya Kilwa bomu!

    Hata kama mkataba wao ulikuwa ni kujenga barabara tu bado barabara yenyewe ni substandard. Mimi nikiwa mkazi wa Mbagala na kidogo nina uzoefu wa ujenzi wa barabara nina wasiwasi kama Consultant anafuatilia specification ipasavyo. In general drainage is the heart of road construction sijui setup...
  11. M

    Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

    Mshahara na marupurupu ya huyo kocha nadhani sio muhimu kwa sasa kwa sababu siamini kuwa makocha wazalendo walikuwa wanashindwa kwa sababu ya mshahara. Unataka kuniambia ndugu zetu wakina Kayuni, Mziray, Mkwasa, kibadeni nk wakipewa posho anayopewa Maximo tutaimba kidedea wakati wote. Nadhani...
  12. M

    IGP Mwema atangaza DEATH PENALTY

    Yalipotokea mauaji ya Wakenya ambayo yalionyesha pia kupata baraka na Waziri husika, nilianza kupatwa na mashaka kama tatizo lilikuwa kwa waliouawa au waliouwa sasa naona the later ndio tatizo kwani wameonyesha bado wana hamu ya kuua and this time there are no Kenyans!!!!
Back
Top Bottom