Search results

  1. Pipiro

    Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Naomba kupingana na wewe.. Kuhusu Technical Background huyu MD Maharage Chande yupo vizuri sana.. Amekuwa anafanya na Private Sectors kadhaa kuanzia Benki, Mashirika ya Simu na hata Multi Choice kwa level ya juu sana kwa Africa. Kama atashindwa basi atakuwa ameshindwa kwa upande wa Siasa hasa...
  2. Pipiro

    Ukitazama kwa jicho la tatu , upinzani ndio unatamani CAG aondoke kuliko CCM

    Unaongea hewa.. Vacuum inayotoa harufu kutokana na uvundo
  3. Pipiro

    Zitto, acha Ubishi wa Kijinga... Sikiliza anachosema Rais. Yeye ndo anajua

    Nimeshabonyeza like maana nimemuelewa.. Hapo kwenye mfano ndio mpango mzima
  4. Pipiro

    Rais Magufuli amteua Phaustine Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Alli Malewa astaafu

    Mimi nafahamu alikuwa tayari amestaafu ila wa kuchukua nafasi yake alikuwa hajateuliwa.. Kwa hili halina uhusiano kabisa na issue ya kutolewa nje..
  5. Pipiro

    Jesca Kishoa Kafulila aibua ufisadi mwingine kampuni ya Shell

    Yes wana operation offshore oil drilling .. Ndio walinunua BG ..
  6. Pipiro

    Kutoka Kisutu: Mbowe na viongozi wengine sita wa CHADEMA Wapata dhamana

    Una uhakika au unaongea tuu kufurahisha genge ? Hebu grow up and act as a man.. Usionyeshe ujinga wako kwa kila mtu
  7. Pipiro

    FISI mwenye uchu Mwenyekiti wa kamati na mhutubiaji

    Fisi ni mnyama mroho asiyeridhika
  8. Pipiro

    Msaada: Official gazette au Government Gazette ni nini ?

    A government gazette (official gazette, official journal, official newspaper or official diary) is a periodical publication that records the business and proceedings of a government and has been authorized to publish public or legal notices. Maadam una uwezo wa kusoma JF kupitia internet...
  9. Pipiro

    Barua ya TANESCO hii Hapa kwenda EWURA na Wizara ya Muhongo; Muhongo na Bosi Wako Muogopeni Mungu!

    Hivi shule mnaenda kusomea ujinga ? Sio lazima muwe mnaandika.. You expose yourself...
  10. Pipiro

    Tell me about Russia.

    Ukipata nafasi ni pm maana nimeishi St. Petersburg Chornaya Rechka
  11. Pipiro

    Nlichokiona makaburuni!

    Duuh
  12. Pipiro

    Msaada: Nina roho mbaya sana

    Nenda kaombewe unaweza kuwa wewe ndio pepo
  13. Pipiro

    Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

    Hebu rudia kuhusu GSM tafadhali sana
  14. Pipiro

    Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Salum Mwalimu, yupo wapi?

    Nafikiri yupo pamoja na Katibu Mkuu wa Chama kilichoshika hatamu. . Nadhani huko hakuna mawasiliano
  15. Pipiro

    Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

    Jamani nitapata wapi hiki kitabu.?
  16. Pipiro

    Salum Mwalimu ukitoka mahabusu achana na CHADEMA

    Kwenda huko....
  17. Pipiro

    Kuna siri gani kati ya Eunice Chiume na bosi mpya NSSF, Godius Kahyarara

    Hata wewe hujui tulia.. Sio lazima ujue kila kitu na kama hujui ni bora unyamaze sio lazima ucomment
  18. Pipiro

    Kuna siri gani kati ya Eunice Chiume na bosi mpya NSSF, Godius Kahyarara

    Wewe ni mmoja kati ya watu wachache kwenye uzi huu unayejitambua. . PR anashiriki Vipi kwenye manunuzi na tenda? Labda kama wana uthibitisho wauweke hapa la sivyo watulie wakiangalia yanayoendelea. Huu mchezo hauhitaji hasira
Back
Top Bottom