Search results

  1. MNDAMBA BOY

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Pia kuongezeka uzito kupita kiasi
  2. MNDAMBA BOY

    Yuko wapi mzee huyu, wanaJF??

    Abarikiwe sana kwa wema wake
  3. MNDAMBA BOY

    Kijue chombo maalumu Inkwizisheni (Inquisition) cha kutesa

    Sawa helen G white wa bongo
  4. MNDAMBA BOY

    Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

    Mkuu mwenye uelewa amekuelewa hakuna state security aliye mzembe hivyo they are full of techniques Tunawasubiri tu hao. Malawi wafanye ujinga wao. Ngerengere mazoez tuendelea kufanya
  5. MNDAMBA BOY

    Ujumbe wa papa

    Hakika ukweli uliotukuka Mungu amjalie maisha marefu azidi kutulisha chakula cha roho
  6. MNDAMBA BOY

    Drake anatoka na J Lo?

    Nenda manzese darajin pale utampata mkuu
  7. MNDAMBA BOY

    Kamatia Chini

    Haaaaaaa duuh km lemtuz hiv huyooo
  8. MNDAMBA BOY

    Ni nani aliyeacha alama ya mguu kwenye jiwe hili la Morogoro?

    Haaaaaaaaa myangu ukufuma kote wenga????
  9. MNDAMBA BOY

    Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Wenyeviti 7 wa Bodi na Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi

    Hivi jamani kusema kweli tanzania wasomi wapo udsm tu au maana kila teuzi ni udsm tu??!
  10. MNDAMBA BOY

    Hahaaha

    Hapo atapgwa makofi mazito kwa ujinga alionifanyia
  11. MNDAMBA BOY

    Pamoja na Udikteta ila ana mke mzuri Sana...

    Haaaaaaaa mkuu umenichekesha hatareeeeeeeee
  12. MNDAMBA BOY

    Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Siyo somalia zpo joint command force inchin pakstan, morroco na congo kwa sasa japo messions zimekamilika kwa msaada wa vifaa vya Us army and tz
  13. MNDAMBA BOY

    Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Mkuu mr Mtui na Hute nimewapata vema sana. Lengo langu si kuwatisha au kuwataka ubaya wowote hapana lengo langu ni kwamba watu watambue humu jf tupo watu wa kada na itikadi tofauti hivyo mtu avyoamua kuelezea taaluma ya mwingine ni vema akazingatia heshima ya kazi husika
  14. MNDAMBA BOY

    Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Nitake radhi ndugu mi si mvuta bange!! Niliomba mtu alihitaji kujua kuhusu komandoo na mshahara wake na kuhusu vyeo vyao aje pale lugalo kesho ili nimpe full detail za jwtz command unit B5kj 94 ngelengele afu alete mrejesho humu ndani baada tu ya kukutana nae kesho!! Hvyo tu...nidhamu ipo kwa...
  15. MNDAMBA BOY

    Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Hakuna anae kutisha!! Unahitaji uharisia wa mambo huna haja ya kuogopa!! Npo serious kwel kwa sasa npo morogoro kesho ntakuwa lugalo
  16. MNDAMBA BOY

    Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Aje pm nimpe utaratibu wote kesho jumanne tukutane pale lugalo ntakuwa nshafika kutoka ngelengele
  17. MNDAMBA BOY

    Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Hivi wewe ni tahira au unaongea upumbavu kabisa nenda fesibuku huko kwa vilaza wenzako
Back
Top Bottom