Search results

  1. Mvuni

    Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA

    Kalagabaho
  2. Mvuni

    CCM imekuwa mali ya mtu?

    Wanamacho lakini hawaoni, hao ni vipofu, na mbumbumbu. Utabaki na umbumbumbu, na upofu wako huohuo.
  3. Mvuni

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless J Lema amejibu tweet ya Rais Magufuli

    Atayapata asubuhi na mapema!
  4. Mvuni

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless J Lema amejibu tweet ya Rais Magufuli

    Acha uzushi wako. Acha Mkuu wa nchi afariji wananchi wake!
  5. Mvuni

    CCM imekuwa mali ya mtu?

    Kizungu zungu kimekupata. Pole sana Kkimondoa.
  6. Mvuni

    Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA

    Kweli wewe Quinine imekupofusha. Unafikiri, utendaji kazi wa idara hiyo ni wakuona kwa macho yako ya nyama. Unajidanganya.
  7. Mvuni

    Kwa CCM hii ya Rais Dk. Magufuli, ni nani atabaki Upinzani?

    Oyeeeeee! Karibuni sana ndugu zetu, maana "ugenini siyo nyumbani".
  8. Mvuni

    Mkutano wa UWT-Dodoma: Mama Anna Mghwira ahamia rasmi Chama cha Mapinduzi(CCM)

    kiroho, na macho vimewatoka. Na badoo!
  9. Mvuni

    Mkutano wa UWT-Dodoma: Mama Anna Mghwira ahamia rasmi Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Karibu mama yetu nyumbani kwako. Huko ulikuwa ugenini!!
  10. Mvuni

    Ukimya wa Lowassa kwa haya yaliyotokea uchaguzi mdogo wa Udiwani ni maana yake?

    wewe unataka aweje? Kuna dhambi gani yeye kuwa CCM damu? Na wewe una nafasi ya kuwa CCM, hujazuiliwa - Karibu.
  11. Mvuni

    Ukimya wa Lowassa kwa haya yaliyotokea uchaguzi mdogo wa Udiwani ni maana yake?

    Mbona unachekesha sana! Mwenzio alishaona huu ni mziki munene, akaenda zake kula bata Kenya. Hujui kwamba hivi karibuni anarudi nyumbani? Umebaki wewe tu.
  12. Mvuni

    CCM imekuwa mali ya mtu?

    Unashangaza sana! Eti hongo, ahongwe nani? Huo upande mwingine hakuna mpya, zote ni nyeusi, kwanini mtu ang'ang'anie kuti kavu? Karibuni nyumbani kwenu...
  13. Mvuni

    CCM imekuwa mali ya mtu?

    Hili ni jambo la maana sana. Ninyi ndiyo mliokuwa mnakihujumu chama chetu. Sasa mumebanwa mbavu, mnaanza kulalama. Wewe ukitaka baki chamani, hutaki sepa! Chama hakiteteleki kwa porojo zako!
  14. Mvuni

    Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

    Unaandika kama ukimbizwa. Unahofu gani wewe, au mwenzetu ni upande mwingine?
  15. Mvuni

    Mzee Bulembo chonde chonde tushinde kwa haki si kwa garama yoyote

    Nchi moja, lugha moja, chama kimoja. That's great Prince Crown!
  16. Mvuni

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless J Lema amejibu tweet ya Rais Magufuli

    Shida iko wapi kwa Mkuu wa nchi kumtakia kheri Mh. Lisu kwa kadhia iliyo mpata? Lema, usitumie maandiko nje ya muktadha. Hongera Mh. Rais kwa kumfariji mwananchi wako mpendwa.
  17. Mvuni

    Mzee Bulembo chonde chonde tushinde kwa haki si kwa garama yoyote

    Nasema, unahofu gani wewe? Acha kitete, bado ni asubuhi!
Back
Top Bottom