Search results

  1. princess ariana

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Nishazoea 3 mpaka 5 najiona kama sijashinda vile. Kinyonge sana bwana sema nini pira objective
  2. princess ariana

    Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

    Kumbe USA BABES mnateseka hivi na hamsemi
  3. princess ariana

    Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    kama kuna mtu anataka kijana wa kusaidia kazi kazi za biashara ya chips nna mdogo angu kachoka kukaa bush anataka kibarua
  4. princess ariana

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki mbili?

    nataka mzigo wa 50 na skanka
  5. princess ariana

    Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    na wameonyesha kwamba simba itatumia mbinu za ushirikina kuliko soka. halafu kwamba matokeo huwa wanakaaga chini watu fulani kuyapanga kwamba mechi hii shindeni hii fungweni ndomana wanakuja na ajenda oh hata awe mbovu hafungiki!
  6. princess ariana

    Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Umeongea kila kitu mkuu'! Jana mpaka wakina GHLIB MZINGA na MPENJa nao wameshiriki kuwatia hofu wana yanga. Oh lolote laweza tokea yule dhaifu anashindaga derby oh kariakoo siasa! yani hofu nyingi mpaka watu wameyumba
  7. princess ariana

    Gamondi na Benchi lake la ufundi wanapaswa kumvumilia Denis Nkane Kama wanavyomvumilia Clement Mzinze

    Hivi sikuonaga wonder kid aliuzwa mashujaa dirisha dogo?
  8. princess ariana

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    WATU wanapenda sana miujiza. Huyu sijui ndo yuko times fm anafoka saa zote! kumna shost angu anakwambia kanunua mafuta ya 5000 kwa kuhani musa alivyopaka mbaya wake akampigia simu kumwambia yeye ndo anamroga! Anakwambia mama ake mdogo kayanunua ya laki moja ananiambia hayo ndo kiboko! Nikamjibu haya
  9. princess ariana

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    BOSS BOSS HIZO NOTI KATA PASU LANGU, ZINGATIA MAOKOTO!
  10. princess ariana

    Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Simama kwenye hoja ya kukosa wa kukusikiliza. Mana kuhusu familia wengine tumezaliwa full house na hakuna wakukusikiliza mpaka unajuta
Back
Top Bottom