Search results

  1. B

    An open letter to President Magufuli

    Yaani Kingereza chako ni kichanga saana, una point ila hujui kingereza sijui kwa nini hukuandika tuu kiswahili. Ni nani alikudanganya kuwa unafahamu kingereza? sijawahi kuona kingereza kibovu hivi duniani, umejaribu ila huna vocablary za kutosha kitu ambacho kimekufanya uafnye direct translations.
  2. B

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Sidhani kama Magufuli atamchukua mtu mwizi. Makamba aliiba pesa za vyandarua vya Msaada leo hii awe Waziri nitashangaa kama Magufuli akimchagua. kwa kikwete anaweza kwa maana yeye anakumbatia wezi ila kwa Makufuli anataka watu wakuwatumikia wananchi sio wakuwaibia hata pesa za vyandarua.
  3. B

    Tanzania mpya ninayoiona

    Nina wasiwasi na wewe ni miongoni mwao(Yuda Escarioti yule mwivi aliyemsalit Yesu kwa vipande 30 vya pesa kisha akajinyonga). Nyambafu jiandae kujinyonga na wewe kama Yuda, utaisoma namba, hapa kazi tuu. Watoto wa mitaani watatoka wapi wakati Magufuli anajenga jamii imara shule bure kwa kila...
  4. B

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    kwanini asipochaguliwa Lowasa awe kakatwa lakini asipochaguliwa mwingulu iwe sawa tu? kwani Lowasa yeye ni nani hata hasipochaguliwa awe kakatwa? Nauliza tuu
  5. B

    Henry Kilewo apata upinzani Mwanga ndani ya CHADEMA

    Duu mbona hao wote hawauzikiki mwanga? Mwanga nzima wanasema anayeweza kumtoa maghembe ni jamaa mmoja anayeitwa Ngoma sijui ni yule daktari wa kansa. Kumbe hata nia hajatangaza. Kumbe wapare wazushi wanaota jina kumbe mwenyewe wala hayuko tayari
  6. B

    Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

    Yaani Mimi sio mshabiki wa upande wowote ila nakuona wewe ni mpumbavu na mzushi. mara unasema wewe ni mtu wa System unajua mpango mzima unaundwa juu ya gwajima na unataka utueleze. lakini umetoa mapovu tuu hapa kurasa kibao hujaeleza kitu zaidi ya tarumbeta. sasa najiulize kama wewe ni shushu...
  7. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Sikai council estate huwezi ukanijua wewe, utafahamu wapiga box wenzio. Sio sifa kukaa ulaya anyway huwezi kufananisha leicester na Joberg.mrundi wewe
  8. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Mpuuzi wewe, kama uko leicester lazima unjmjua Hasani Ik au Sipho waulize Bongani ni nani watakuambia, sikai council estate hivyo huwezi nijua mimi
  9. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Haya kijan wa council estate natamani ungejua unachati na nani
  10. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Asante Mluguru wewe unayeishi Council Estate ulaya nakuonea huruma, sfari yako kutoka tanzania kuishia Council estate. nimekupvt nikakupa namba yangu mbona hupigi? uwongo kama uko ulaya piga namba niliyokupa Nanga wewe. guy form Council estate.
  11. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Nakuambia wewe ni kiazi kama bado hujui tofauti unatetea Council house siwezi hata kuongea na wewe, nikutana na mtu akanitajia anakoishi najua tuu anaishi kwenye nyumba ya aina gani, hiyo nuymba binafsi iliyopo jirani yako naye alinunua kutoka council ndio maana huoni tofauti wote mko kima cha...
  12. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Hivi wewe kweli uko ulaya hata hujui maana ya Council estate? unadhani Council estate ni tower building. hivi wewe kweli umeenda shule unayedhani kama ukiuziwa nyumba ya caucil ni sawa na nyumba ya kawaida? hushangai nyumba ya Council wanakuuzia kwa £10,000 wakati nyumba za binafsi zinauzwa ni...
  13. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Yaani wewe usithubutu wala kujibu kwa maana ni aibu tupu kama unakaa Council state wewe ni mlala hoi wa ulaya. kwanza mpaka umekubaliwa kubid hiyo nyumba moja kwa moja mshahara wako ni chini ya £400 kwa mwezi. wewe wadanganywe waliko bongo ambao hawajui tofauti ya hizo nyumba. Council house hata...
  14. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Burudani ziishe kwani anajua hata uwanja ulipo? unatpiga box ukumbuke siku mech, yeye anona kwenye runinga tuu kama wewe uliyepo bongo. saa nyingine hata mda wa kuangalia runinga haupati yuko shift. una afadhali wewe ambaye unaweza hata kwenda kwenye Bar na kuona soka za ulaya mpiga box wa ulaya...
  15. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Kaka acha uharo kwa maana mimi mpaka Lei hii niko hapa Leicester huwezi kunipa hadith za kijinga hivi, kawadanganye walikoko bongo. wewe kama unakaa Council estate tunakuona choo tuu, kima cha chini. na kwa story yako ni wazi kuwa we ni hovyooooooo. mpiga box tuu. makaratasi ya kisomali moja kwa...
  16. B

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Kaka Nilidhani uko Ulaya kumbe Leicester! hivi hapo Leicester au India?kuna tofauti gani kati ya Leicester na Manzese? Pole saana, mimi kwakweli nilikaa UK lakini sikuona cha maana zaidi ya shida tuupu za kupiga box na kutokuwa na social life. Hapo Leicester unakaa Beaumont Leys au St Mathew kwa...
  17. B

    Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

    Unataka ujue ni akina nani walio muua waziri wakati wanajulikanat wazi? Si ni yule Msouth Africa? Na jina lake walimtaja wazi siku ileile? Anaitwa Dube
  18. B

    Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

    Mimi wala sio MTZ ila nina interest na Tanzania kwa maana niliwahi kuish hapo. Sijui hata anafanana je ila naangalia tu hali halisi ndugu yangu, tuwe wakweli
  19. B

    Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

    Am a native speaker I don't real care about grammar like you Tanzania
  20. B

    Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

    Nakuunga mkono, majungu hayana tija. Huyu inaelekea alihonga hela ikaliwa na akakosa sasa anamshukia mwenzake. Mawaziri wamefoji vyeti wanajulikana na bado ni mawaziri. Kwanini kumshiki bango huyu miss?
Back
Top Bottom