Search results

  1. Jpinduzi

    Biashara ya kuuza genge

    Hongera sana kiongozi kwa mawazo yako mazuri,ila biashara hii haiko hivyo unavyozani,kiufupi ni biaharayenye changamoto nyingi sana na imejaa fitina/ushirikina wa kila aina,ukiweza kujipanga(kwa Mungu/miungu) hapo sawa.
  2. Jpinduzi

    Fundi nguo anahitajika Mbagala

    Nahitaji fundi anaye jua kushona aina zote za nguo za kike naza kiume. Ofisi ipo maeneo ya Sabasaba kwa mpili (Mbagala) mshahara maelewano. +255718029933
  3. Jpinduzi

    Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

    Pole sana (Mr Majaribu) kwa mkasa uliokupata, ningependa kukushauri ijapokuwa sijajua kama nyote yaani wewe na mkeo kama mna hofu ya Mungu tangia uchumba hadi ndoa, anyway maadamu umehitaji ushauri nitakushauri yafuatayo. Ndoa sio mkataba wa kijamii bali agano la kiroho. Waefeso 5:31-33 Kwa...
  4. Jpinduzi

    Good luck for acca exams starts 03/06/2013

    Trusting God won’t make the mountain smaller but it will make climbing easier. Hope you will be able to climb all your mountains always. Good Luck.
  5. Jpinduzi

    Karibuni katika tamasha la kusifu na kuabudu

    Ubarikiwe mpendwa kwa taarifa nzuri kama hii.
  6. Jpinduzi

    Najuta, kwanini nilikubali kuolewa?

    Baada ya mwaka mmoja wa ndoa, Merian asema anajuta kwa nini alikubali kuolewa. Merian na Joseph (haya siyo majina yao halisi) ni mtu na mumewe. Nikiwa katika Mkoa wao kikazi, niliamua kuwatembela wanandoa hawa. Merian alinipokea na kunikaribisha ndani kwa furaha sana. Tukaanza kuongea nami...
  7. Jpinduzi

    Liwalo naliwe

    Yaani ndugu yangu nadhani hujaelewa maana ya Wokovu(kuokoka).Kuokoka ni kujisalimisha kwa Yesu, Kumkiri Yeye kwa kinywa chako kuwa ni Bwana. Kuyaacha yale yote zamani ulifanya(Kuwa kiumbe kipya ya kale yote yamepita) Kubadilika kutoka katika hatua moja kwenda katika hatua nyingine nzuri zaidi...
  8. Jpinduzi

    Hapana, kwahilo sithubutu

    Pole kwa mkasa ulio kukuta ila bado najiuliza umedumu kwenye ndoa miaka 5 bado unafuata wanawake wa nje?Hayo ni madhaifu makubwa sana NA YANATOKANA NA KUACHA MAFUNDISHO YA MWENYEZI MUNGU.Hata hivyo nakushauri uachane na huo uasherati haufai,jambo la msingi ni kutubu makosa uliyofanya mbele ya...
  9. Jpinduzi

    Jamani nisaidieni, Pepo Kali la Ngono linanimaliza...

    Umefanya vizuri sana dada yangu kuwa wazi ili upate msaada.Tatizo lako sio kubwa sana kama ukifanya yafuatayo. hutaweza kuzuia mawazo ya dhambi(ngono) katika fikra zako, lakini unaweza kuyazuia mawazo Au fikra ya dhambi(ngono) kuweka makazi kwenye ufahamu wako па fikra zako.Acha...
  10. Jpinduzi

    Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

    Kwa nini unakosa akili juu ya jambo hili. Ni kitu gani kimekupofusha macho usione ya kuwa uzinifu ni mbaya? Biblia inasema; “Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomangamiza nafsi yake.” (Mithali 6:32) Ni dhahiri ya kwamba palipo na zinaa pana uharibufu, na wengi...
  11. Jpinduzi

    Usia wangu kwa Zitto na washirika wake

    pamoja na maelezo yako uliyoyatoa bado naona unausifu upande mmoja na kuukandamiza upande mwingine kweli huyo ndo Mungu alivyo?unayemsema ww?mm naona wote sio wasafi,kwahiyo acha unafiki wa kuegeme upande mmoja bila hata aibu.
  12. Jpinduzi

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Kazi nzuri mkuu umetujuza nini kinaendelea kwa wale tulio mbali na tukio
  13. Jpinduzi

    Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

    Mkuu pole sana na mkasa huo uliokupata naamini utashinda hivyo ni vita,ambapo wewe kama wewe unatakiwa uwe na mzigo mkubwa wa maombi,kumbuka Siku hizi wanawake hawatekwi mateka na wanaume ili wafanye mambo ya zinaa, Vishawishi vimekuwa vingi, na wanawake wengi wameanguka katika mitego hiyo ya...
  14. Jpinduzi

    Askofu mkuu wa kanisa la TAG atoa tamko kuhusu chokochoko za udini

    Ndugu yangu naona unaenda mbali zaidi ya ujumbe alioutoa askofu,kwa mtazamo wangu naona ni mawazo yako binafsi na wala siwezi kuwajumlisha wote waislam,bado unayapeleka mambo ya imani kimwili na wala sio kiroho,nasema hivyo kwa sababu ungekuwa unayapeleka kiroho yasingekutoka mawazo ya aina...
  15. Jpinduzi

    Nimeamua kuwa cheater

    Sio sahihi kabisa dada yangu kwa maamuzi unayotaka kufanya!Lakini elewa mambo haya yanatokea kwa sababu ya Kukosa kujua neno la Mungu linasema nini juu ya zinaa katika marefu na mapana yake, kumewafanya watu wengi wanaswe na mtego huu mbaya.Watu wa Mungu wengi sana nyakati hizi wanaangamizwa kwa...
  16. Jpinduzi

    Kufan ya usafi wa mwili vizuri/wanawake

    Uke na SEHEM YA KUNYEA vinapaswa kuoshwa mara kwa mara na kubakia vikavu. Ni jambo zuri kuepuka kuchangia mataulo na ndugu wengine katika familia au marafiki kwani yanaweza kusababisha kuenea kwa maambukizi ya magonjwa kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Baada ya kuoga vaa chupi za pamba zilizo...
  17. Jpinduzi

    Wewe Tajiri!

    Amina mpendwa
  18. Jpinduzi

    Wewe Tajiri!

    Amina mpendwa!
  19. Jpinduzi

    Wewe Tajiri!

    Amina mpendwa!
Back
Top Bottom