Search results

  1. M

    Ya roliondo na hatima ya tanzania

    Mwana JF tafakari hili:Itakuwaje BABU wa Loliondo atoweke gafla halafu aache ujumbe mfupi kuwa ,NDUGU WANANCHI NIMEAMUA KUKIMBIA MAANA NIMEGUNDUA HII DAWA NI SUMU NA HUUA BAADA YA MWAKA 1,wanangu 3 wamekufa kwa kuwa wao ndio walikuwa wa kwanza kuwafanyia majaribio, kweli walipona lakini baada ya...
  2. M

    Kumkataza Magufuli kubomoa majengo yaliyojengwa kwenye hifadhi za barabara ni ujinga mkubwa

    Uifikilie kubomoa tu, hawa watu waliojenga kwenye maeneo hayo wamepewa viwanja na halmashauri za miji na majiji, hivyo uamzi wa kubomoa bila kufuata utaratibu siyo haki ya msingi, wakulaumiwa ni watu wa mipango miji na idara ya ardhi ya eneo husika , vilevile serikari hawaweki vigingi vya...
  3. M

    Waziri mkuu na sukari ya kagera

    Inashangaza waziri mkuu anapotoa tamko harafu linashindwa kutekelezwa , katika ziara aliyofanya mkoani kagera alikemea kupanda kwa bei ya sukari ukizingatia kunakiwanda 70km kutoka bukoba manicipal , lakini hakuna hata godown la sukari bk ,sukARI ikizalishwa inapelekwa mza, wafanyabiashara...
  4. M

    Ninaweza kupata mpenzi wa kweli kupitia safu hii??????????????????????????

    msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa, ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe mnene sanaaaaaaaaaa
  5. M

    [PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

    SErikali ya ccm inanyanganya wananchi mashamba yao , angalia mza MKURUGENZI anajigawia viwanja pamoja na maswaiba wake , kilicho baki ni kuuana tu, mtu ameishi eneo hilo tangu 1930, mwaka 2009 uje umwambie hatakiwi kuishi hapo aende wapi na eneo hamjampa , kwa hali hii viongozi mamuluki muwe...
  6. M

    [PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

    tumechoshwa na ufisadi kila kitu wanachakachua, inabidi serikari ya ccm ijipange upya , zaidi yatawafika ya TUNISIA NA MISRI
  7. M

    [PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

    Hatutaacha maandamano mpaka kieleweke , tumenyonywa vya kutosha na viongozi, watu wamejifanya miungu ipo siku itakuwa kweli , tunahitaji mabadiliko ya kweli.
  8. M

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    maandsamano ndiyo njia pekee iliyobaki ya kuwangoa mafisadi ,chadema songa mbele tumenyanyasika sana ,
Back
Top Bottom