Search results

  1. kelly mfilinge

    Mpango wa Burundi kujitoa ICC

    Bora tu ijitoe mbona hata marekani yenyewe haipo kwenye hiyo mahakama!!!
  2. kelly mfilinge

    Kagame acha ujinga, nchi haiwezi kuendelea bila ya Polution!

    Wewe na kagame na kasoma zaidi? Au nenda kwa mashoga wezako huko magharibi ukachafue hiyo hali ya hewa
  3. kelly mfilinge

    Namkumbuka kwa mengi mchungaji Mtikila

    Binafs nilikuwa namkubali sana huyu mzee
  4. kelly mfilinge

    Nafasi za kazi

    Mimi Nina lessen tu ya udereva Vp nitapata
  5. kelly mfilinge

    Natafuta mume

    Mimi mwenyewe natafuta mke ila mimi ni islamic
  6. kelly mfilinge

    Channel ya Star Tv imeondolewa kwenye orodha ya channel kwenye kisimbuzi cha StarTime?

    Kama unaking'amuzi cha star times vyipya vile vidogo vyeus search extra channel zile za bure basi na startv utaiona ila hainaga sauti
  7. kelly mfilinge

    Rais Paul Kagame atishia kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Ufaransa

    Acheni kushabikia ushoga wa wafaransa nyie mabundi, ufaransa ina nia ya kuleta machafuko tena Rwanda
  8. kelly mfilinge

    Pendekezo: Rais Magufuli tuma majeshi Somalia kuokoa jahazi

    Kwanza upeleke majeshi yakapigane na nani? Wewe umeaminishwa tu kuwa al-shababu ni magaidi na hao wa magharibi ili kulinda maslahi yao lakini wasomalia wenyewe wanaona al-shabab ndiyo mkombozi wao na ndiyo maana asilimia 80% ya wasomalia wanaunga mkono harakati za al-shabab
  9. kelly mfilinge

    Wahanga wa Tetemeko Bukoba: Hatuhitaji maji na biscuit tunataka msaada tujenge nyumba zetu

    Waache wachezee hizo rambirambi bar mungu awaonyeshe!!!
  10. kelly mfilinge

    Jahazi la Donald Trump lazidi kuzama MCain ajitoa baada ya matamshi ya kidhalilishaji kwa wanawake

    Sote hatujui huyu shetwani nini kajaariwa kwa ajiri ya kuimaliza dunia (illuminat)
  11. kelly mfilinge

    Najua umeshasikia kuhusu Illuminati, lakini kama hujui malengo yao kwa wanadamu pitia hapa

    Wajinga wataendelea kusifu ngono na pombe na hii post haiwaumizi vichwa wala nn
  12. kelly mfilinge

    Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Nadhan wewe ni miongon mwa wahuni hao waliofanya shambulio baya kabisa hili
  13. kelly mfilinge

    Inatisha: Jamaa afadhili wauaji wa mke wake, baadaye akutana na mke wake akiwa hai!!!

    Hii nimeipenda sana hao jamaa walitumia uwezo mkubwa sana katika kufikiria
  14. kelly mfilinge

    Anayejua dawa ya kuroga matapeli

    Loooh pole sana ndugu yangu ila kama unaamini katika hilo nitafute mm
  15. kelly mfilinge

    Je wajua "Bwanayule" ni nani?

    Bwana Yule ni bundi siyo mtu tena.
Back
Top Bottom