Search results

  1. The Analyst

    Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Uzushi wa kushtusha kuhusiana na hali ya afya ya Mheshimiwa Rais umechefua watu wengi sana. Ni jambo la kusikitisha zaidi kwamba baada ya kuamini na kukurupuka kama kawaida yao, baadhi ya wasiompenda wamejiacha wazi mno kiasi kwamba hata waliowahi kuonekana wana hekima upuuzi wao umejianika...
  2. The Analyst

    Ofisa wa TAKUKURU auawa na watu wasiojulikana Manyara

    Kuna haja ya taasisi nyingine zaidi ya polisi kufuatilia taratibu na umakini katika upelelezi wa kesi hii. Wengi tunajua walarushua wengi wa polisi wasivyoipenda TAKUKURU na wachunguzi wake. Ushahidi mzuri unaoisaidia mahakama kutoa haki dhidi ya uovu aliofanyiwa marehemu ofisa huyo unaweza...
  3. The Analyst

    Utendaji wa Rais Magufuli umewakimbiza makamanda

    Wanahitaji ushauri nasaha (unasihi) makini kwa sasa. Tatizo kubwa la Viongozi wa CDM wanaogopa kutafakari wakiwa kimya. Si lazima mwanasiasa kusema kila wakati. Sometimes unakaa kimya, unapima mawazo yako ukilinganisha na hali kabla ya kusema wazo unaloamini ni sahihi.
  4. The Analyst

    Kinachoendelea Uingereza ni dhahiri Mwl Nyerere ataendelea kuishi

    Fuatilieni vizuri uwepo wa EU! Kama iliundwa kwa janja ya marekani kupata Block imara dhidi ya mahasimu wake kama Russia ni bora umoja huo ukafa kwa kuanzia na kujitoa Uingereza. Hivi watu wanajua ni namna gani USA inatumia EU na NATO kulazimisha mataifa yaendelee kuwaabudu wao (US) wakati...
  5. The Analyst

    UKAWA wamjibu Magufuli kuhusu kutofanya siasa, wasema wataendelea kwa kuwa katiba inawaruhusu

    Mbowe alipogombea urais alipata asilimia ngapi kweli? Nauliza tu!
  6. The Analyst

    Mkuu wa Kaya hata apendwe vipi, Asifanye haya...

    Samahani kwa kuchanganya lugha! Kuna don'ts na dos!
  7. The Analyst

    Mkuu wa Kaya hata apendwe vipi, Asifanye haya...

    Kuna maneno maneno kwamba kiongozi wetu Mkuu ni mbabe na hasikilizi la mtu, anatisha wasaidizi wake na kadhalika. Binafsi naamini huyu kiongozi ni afadhali kuliko mwingine yeyote aliyeonesha nia ya kuingia Magogoni katika mchakato wote wa uchaguzi mkuu wa 2015. Pia anakubalika sana kwa mazuri...
  8. The Analyst

    Picha ya Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari, inakupa ujumbe gani?

    Ili ufanikiwe lazima uwe na roho ya uthubutu kama chizi vile. Kwa mahaba waliyonayo wananchi kwa Mh. Rais Magufuli ni wazi upinzani inabidi watafute mbinu za kurejesha daraja lao kwa nguvu zote. Kama kuvua nguo zote kutawaongezea uungwaji mkono inabidi wajaribu pia maana mimi binafsi ukiniuliza...
  9. The Analyst

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar, Wilson Kabwe. Makonda amtuhumu kuongeza mkataba wa maegesho bila mchakato

    Mtoa mada nashauri ufuatilie issues kabla hujaleta uzi jamvini! Makonda si mjinga kama baadhi ya wasiompenda wanavyodhani. Mwenzenu ana tabia ya kusikia tuhuma (ambazo huwa ni wazi anyway) anaunda tume ya wataalamu wa sekta husika na wanasheria. Yale madudu ya ujenzi wa barabara Kinondoni...
  10. The Analyst

    Ni wakati sasa Raisi kuheshimu maoni ya wananchi

    Wewe naye hutafakari tu! Yaani kila anayeshindwa uchaguzi hafai kwa lolote? Mbowe alipata % ngapi alipotaka urais? Kwenye uenyekiti wa CDM taifa anafanya nini? Kumbuka kina Lipumba, Slaa nk. TAFAKARI! Mtandao wa kijamii kuwa huru haimaanishi tuwe mapumbavu!
  11. The Analyst

    Tathmini ya gharama ya John Pombe Magufuli Safari Kigali Kwenda na Kurudi

    Kama ni kweli Rais alisafiri kutoka KIGALI hadi RWANDA huo ni ufisadi wa maandishi. Mtoa mada una...wa kwa kweli!
  12. The Analyst

    Akili iliyotumika kumsifu Kikwete ndio akili hiyo hiyo inayotumika tumuone Magufuli ni malaika

    Mtoa post amenikumbusha siasa za CDM na kipenzi chao Edo! Fisadi mkubwa kawa malaika halafu wanashangaa watu kumwamini Magufuli huyu wa mabarabara. Kweli nyani haoni sehemu yake ya nyuma.
  13. The Analyst

    Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

    Unapokuwa na raia kadhaa wenye akili kama hii ndipo unapata tamaa ya kulazimisha watu wafanye kazi kwa nguvu kupunguza idadi ya wanasiasa bangi na viroba.
  14. The Analyst

    Fatuma Karume: Dk. Shein amewekwa madarakani 'kinyume na utaratibu wa nchi'

    Huyo Baba yake aliwekwa madarakani kihalali? Mbona hata huyo aliyemzaa alipora nafasi ya Gharib Bilal akisaidiwa na hao waliomsaidia Shein? Ifikie kipindi wazanzibari wawaogope hawa wanafiki maslahi! Wakati Dodoma ilipoforce Baba yake awe mgombea wakati wazenji wakimtaka Bilal domo kalifumba...
  15. The Analyst

    Pesa zilizoanzisha CHADEMA na historia ya zama hizi na ufisadi

    Mimi na wajinga wenzangu tulijua bosi wako hapati tiketi ya kijani na tukajua hashindi kupitia UKIWA. Wewe na wenye akili wenzako mliyoyatarajia yote yamekupiteni. Mumeamua kuwa Ma-Aunt Mipasho. Kama hekima zenu hizo ndo akili basi, namshukuru Mungu kunipa hiki nilichonacho. Nyie hamshituki...
  16. The Analyst

    Tanzania inahitaji Upinzani wenye nguvu na wa uhakika awamu ya tano

    Hujui kuwa upinzani umeimarika zaidi siku za hivi karibuni? Angalia uwepo wa mawaziri wakuu wa zamani (2), katibu mkuu mpya mwenye uwezo mkubwa wa kuratibu migomo hatari zaidi (Dr. Mashinji wa CDM) na mapumziko ya maalim katika hoteli ya kifahari zaidi nchini. Mungu atoe nini zaidi kwa upinzani huu?
  17. The Analyst

    Agundua mumewe ana mtoto wa nje baada ya ndoa

    Mpenzi Mtoa Mada, Huyo rafiki yako (wewe binafsi I guess) hayajui maisha. Tuombe Mungu amjalie utulivu ili ajifunze. Wanaume wenye nia safi siku zote hufunguka wenyewe kwa vipenzi vyao. Iwe ni kabla au baada ya kufunga ndoa. Huyo mume ni muungwana na I can tell anampenda mkewe kuliko...
  18. The Analyst

    Nimemfuma mke wangu akisagana na house girl

    Hakuna asiye na kasoro. Unapowaona wenzio wanaishi pamoja kwa raha na amani ni kwa sababu wanavumiliana vijikasoro vyao. Anayesagana hajakudhalilisha saaana kama anayefi..a na dume lenzako. Sorry wadau! I just think ina nafuu.
  19. The Analyst

    Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

    Shangaa! Huyu jamaa lazima awe anafanyiwa vibaya na wenzake. Siyo bure kabisa yani!
  20. The Analyst

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Yeast infection! Nahisi ni aina fulani ya fungus! Kuna dawa za kutibu hiyo mambo hata kwenye maduka ya madawa. Ushauri mzuri utapatikana kwa Dr. aliyetulia na mwenye nia ya kukusaidia. Sometimes baadhi ya madaktari huwa hawapo tayari kusaidia.
Back
Top Bottom