Search results

  1. Jay_the_analyst

    Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

    Nimefuata ushauri wenu wakuu.. maa dah.. mtu akioendwa anazingua... full malalamiko. Bora nikomae na maisha yangu tu.
  2. Jay_the_analyst

    Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

    Hiyo kitu sitakaa nifanye maisha yangu. Ni udhalilishaji
  3. Jay_the_analyst

    Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

    Feitty.. yaani inauma unampendanmtu alafu anakuona kikaragosi. Ila basi yameshatokea.. labda Mungu kaniepushia tatizo
  4. Jay_the_analyst

    Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

    Nina hope.. even though moyo umevunjika.. but still nina hope yupo ambawe nimepangiwa.
  5. Jay_the_analyst

    Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

    Ndugu zangu.. nimeongea nae leo mchana. Kaniambia kosa langu ni kwa sababu nilimuuzi jana ucku wakati nilipomuuliza kwa nini hakupokea simu wala kujibu sms yangu? Eti ndio kosa... langu. Alafu.. yeye kaniambia kuwa mimi huwa namletea stress sana. Nikijiangalia ni stress gani sizioni. sion...
  6. Jay_the_analyst

    Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

    Ndugu zangu wanajamvi habari za asubuhi. Nimekuja hapa kuandika uzi huu nikiomba ushauri nikihitaji faraja kutoka kwenu. Mimi ni kijana miaka 25, mwenzangu huyu 21, nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita, mwenzangu kaishia form 4. Tumekuwa kwenye mahusiano karibu mwaka na nusu. Niseme kweli...
  7. Jay_the_analyst

    Tuwaeleweje hawa wanaume wanaojichubua, kuvaa modo, kusuka na kutoboa pua?

    Utandawaz unawaharibu vijana. Kwa nini mtu asiwe real... kama alivyo...?
  8. Jay_the_analyst

    Mtatiro: Wanaume wa Dar tumejawa na uoga na ubinafsi

    Ndio kusema wanaume wa dar.. ni "dont touch me.. utaniumiza"?
  9. Jay_the_analyst

    Popote Ulipo Hii Itakufikia Tu..!!

    Labda huu ujumbe uwafikie wale wote ambao wamepata wapenzi wanawapenda sana na awanajitolea kwao.. lakin wao wanajiona miungu watu na kuanza kudharau na kuwafanyia wapenzi wao yasiyo faa. Niwaambie tu.. yatawakuta mabaya na makubwa ... maana malipo ni hapa hapa duniani
  10. Jay_the_analyst

    Msaada: Nina roho mbaya sana

    Unaweza kuwa una roho mbaya.. lakini unaweza kugeuka na kuwa mtu mwema kabisa. Kwanza jifunze kusamehe.. alafu kuwa mtu wa ibada Muombe sana Mungu aondoe hiyo hali katika maisha yako.
  11. Jay_the_analyst

    Huyu mchumba wangu simuelewi, ushauri tafadhali

    Huyu atakupeleka pabaya... muonye aache hiyo tabia.. au akuache wewe... achague moja?
  12. Jay_the_analyst

    Wenye roho mbaya kumbe tupo wengi

    Jitahidi uwe mtu wa kusamehe... Only msamaha kutoka moyoni ndio tiba ya tatizo lako. Ukisamehe utakuwa na vinyongo.. Ukisamehe amani itatawala moyoni.. Ukisamehe hata Mungu anakubariki..
  13. Jay_the_analyst

    Ushauri: Nimeshindwa kumsahau dada huyu

    Dont force love brother. Just let love come to you. Kama hakupendi brother dont force it. Nilikuwa kwenye situation kama yako.. nikiwa chuo. Lakin baadae nilijifunza kuukubali ukweli. Sawa inauma kwa sababu moyo umependa.. lakin mwache aende. Usipoteze muda
  14. Jay_the_analyst

    Furaha yangu na starehe yangu nikuwaumiza wanawake .

    Sikiliza bro.. ni nature ya wanaume huwa tunasamehe lakini hatusahau yaliyotokea. First kazana Muombe Mungu akupe uwezo wa kusamehe.. ondoa vinyongo. Just kazana.. kumuomba Mungu.. kuwa na iman kwamba kila kitu kinatokea kwa sababu.. ..weka iman kuwa mazuri zaidi yanakuja. Utapona vidonda vya...
  15. Jay_the_analyst

    Furaha yangu na starehe yangu nikuwaumiza wanawake .

    Kutokana na maelezo yako.. braza inaonekana bado ujasamehe ... wala ujamsamehe alio kuumiza moyo. Na hiyo hali ndio inakupelekea kuwa na kinyongo na wanawake. Ungeanza kwanza na kusamehe... Nenda kanisan au msikitini, Tubu.. Muombe Mungu akupe amani.. aondoe visasi katika moyo wako.. and anza...
  16. Jay_the_analyst

    Ukipendwa pendeka!!!!

    Kwa kweli wako wenye bahati ya kupendeka... wanapata wenzi wanaowajali.. lakini wakishajua wanapendwa viburi, dharau.. vituko.. wanavyo wafanyia hao wanao wapenda ni balaa tupu. Wanacho sahau ni kuwa kwa miaka ya sasa ukipata mtu akakupenda kutoka moyoni usimwache, maana bahati kama hizo ni...
  17. Jay_the_analyst

    Kwa wale ambao ndoa zao zina migogoro isiyoisha dawa hii hapa

    Nadhan ni moja ya njia.. lakini ziko njia nyingi za kuleta amani zaid ya hiyo
  18. Jay_the_analyst

    Wanawake kuweni wakweli na wanaume toeni ushuhuda

    Mimi nilimpenda dada mmoja kipindi cha nyuma.. akanizingua na kuniletea mashauzi. Nikampotezea miaka kadhaa.. sasa hiv ananitafuta mwenyewe... ila mimi nilisha songa mbele so huwa namuangalia tu anavyo hangaika
  19. Jay_the_analyst

    Unampenda lakini hakupendi

    Bora uambiwe kuliki kuchuniwa. Ukiambiwa japo itauma lakini.. utaanza upya.. lakin kuchuniwa haujui.. haujui.. status yako ikoje. Unabaki njia panda
Back
Top Bottom