Search results

  1. Heci

    Picha zifundishazo

    https://www.facebook.com/reel/452318693928949/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  2. Heci

    Tetesi: Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

    Hujaona anapost hadi post za Kizungu siku hizi?
  3. Heci

    Miungu mitatu yenye nguvu

    Hata Bikira Maria ni mungu uke
  4. Heci

    Wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya haya maneno anisaidie..

    Kwa hiyo ukisikia nyau unajua anaongelewa punda, eti ehh?
  5. Heci

    Wajerumani na majina ya Kitanganyika

    Kumbe Kisarawe lilitokana na Kijerumani!!
  6. Heci

    Tetesi: Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

    Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa ahueni mashabiki waendelee kuwa na Imani naye. Try Again anapambana kumtoa Mo kwenye uwekezaji na...
  7. Heci

    Mjue Korashi Mkuu wa Uajemi (Cyrus the Great of Persian Empire)

    Jina lake la utani au? Je ana uhusiano Gani na Wangoni?
  8. Heci

    Mjue Korashi Mkuu wa Uajemi (Cyrus the Great of Persian Empire)

    Huyu ndio alikuwa mume wa Ester wa kwenye Biblia. Mke wake wa awali alikuwa anaitwa Vishti. Alimzingua jamaa mbele ya wageni wake wa heshima
  9. Heci

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Huyu ndiye baba wa Mapinduzi ya Iran enzi zile. Ndiye kaifanya Iran iwe nunda namna ilivyo leo
  10. Heci

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Iran Ina ujinga mwingi sana ayatollah Khomeini my ass
  11. Heci

    Natafuta furniture kwa bei nzuri

    Makochi ya keko yanatengenezwa kwa magodoro mabovu, Yana kunguni sana
Back
Top Bottom