Search results

  1. Nduka

    Watanzania tuunganeni kukemea uovu bila kujali itikadi zetu za vyama

    Kama mimi ni Mmarekani nirudisheni kwetu, ila kwa moyo wangu wote nimeridhia tozo. Njaua kuna changamoto ya viwango ila mama anaupiga mwingi.
  2. Nduka

    Kwenye hili la Mbowe, vyombo vya Dola mmeitwisha zigo Serikali. Hivi hamjui nini?

    Kama alivyotangulia bwana Charles Mbowe na baba yeke mkubwa mzee Mbowe. Na Mwesiga Baregu, kifupi hii dunia habaki mtu.
  3. Nduka

    CCM na somo la Ushirika wa Vyama

    Hata hiyo katiba mpya bila kushirikiana, unawezaje kupata matokeo?
  4. Nduka

    CCM na somo la Ushirika wa Vyama

    Wanasema hata saa mbovu kuna muda katika siku huwa inakuwa sahihi, nadhani upinzani hasa CHADEMA wanapaswa kujifunza kwa CCM somo la kushirikiana na vyama vingine. CCM pamoja na kushika dola, kuwa na rasilimali na uwezo wa kifedha, kuwa na mtandao ulioenea kila kona ya nchi lakini bado wamekuwa...
  5. Nduka

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kuendeshwa kwa njia ya Mtandao ni uoga wa Mamlaka dhidi ya nguvu ya umma na Jumuiya ya Kimataifa

    Halafu akili hizi hizi ndio unataka kuzitumia kusema kuwa Mbowe sio gaidi? Hakuna mwana CCM anataka kukabiliana na wahalifu, hiyo ni kazi ya polisi.
  6. Nduka

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kuendeshwa kwa njia ya Mtandao ni uoga wa Mamlaka dhidi ya nguvu ya umma na Jumuiya ya Kimataifa

    Hivi ndio mnaambiwa mkikaa kwenye hayo makongamano? Au hizi ni akili zako tu binafsi?
  7. Nduka

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kuendeshwa kwa njia ya Mtandao ni uoga wa Mamlaka dhidi ya nguvu ya umma na Jumuiya ya Kimataifa

    Sasa kwanini mnasumbua wauza magazeti kubeba mabango msikae kwa kutulia kusubiri waoga wafute kesi?
  8. Nduka

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    Kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu
  9. Nduka

    First Jamiiforums Billionaire

    Huwezi kugeuka Barbra ukamkimbiza Manara wangu?
  10. Nduka

    Shabiki wa kigoma aipiga yanga mkwara aipa masharti mazito la sivyo watakoma

    Mpira wa Tanzani tatizo ni mashabiki. Wengi mnatabia za kishoga.
  11. Nduka

    Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

    Uzi wa walimu huu, naona magari mengi humu ni size ya TGS D
  12. Nduka

    Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

    Amewakilishwa na Chuwa wa ayiitivii
  13. Nduka

    Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

    Nasikia pale kituo cha stesheni pale kuna mzee alikuwa anaitwa stesheni alizikwa pale.
  14. Nduka

    First Jamiiforums Billionaire

    Huyu ni mpya? Club yetu Tanzania tunajuana karibia wote kwa majina.
  15. Nduka

    G Malisa: Kamati Kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao ndani ya chama viongozi wa UVCCM waliokubali teuzi mpya

    Rais hajateua UVCCM mbona? Au msimamo wa chama umebadilika?
  16. Nduka

    Kwanini Watanzania hawazichangamkii Toyota Mark X Vio

    Wabongo wanatishwa na namba, ila hata hawajishughulishi na teknolojia ya injini inakaba unywaji.
Back
Top Bottom