Search results

  1. K

    Kero daraja la Nyerere-Kigamboni Dar es Salaam

    Kwa kweli utendaji wa kazi wa daraja la kigamboni kwa sasa unakera sanaaa, hivi ni vitu baadhi vinakwaza: 1. Madirisha mengi, wanaokatisha tiketi madirisha ma3 tu kwa nin? 2. Watu wako slow mpaka wanakera, imagine asubuhi watu tunawah kazin msururu wa magari mpaka njia ya kwenda vijibweni, nin...
  2. K

    Tanzania referundum support Projecr ( reborn )

    Kazi za civic voters education officers, Hawa jamaa walitoa kazi kama mwez umepita, leo wanatuma email kuwa umechaguliwa ns kuna training dar kuanzia tarh 22/3/2015 ila wanahitaj utume scanned vyet vyako kwa lawyer wao na Tshs 51500 kwa Mpesa au Tigo Pesa ili aweze kukuthibitisha kuwa uko...
  3. K

    Huy mume asifiwa kwa uaminfu

    hizo code ni gan jaman, tupeane basiiiii
  4. K

    Kipindi cha mkasi cha EATV, kinaelimisha nini?

    just for entertainment na kupumzisha akili baada ya kazi kwa siku nzima ya J3, salun pale ndo gud and smple mitting point ambapo watu huweza ongea mambo kibao, si wapajua salun mkuu, sa wakakae wap kwingine
  5. K

    Nafasi ya Kazi changamkeni

    sasa mbona hujasema nitume vip hizo cv na other applications, nimeku-pm lakin hujaniambia vzur, can yu tell me more plz, niko mwanza na nina vigezo hivyo
  6. K

    Cr officer anahitajika(kabanga nickel mining)

    ahsante mkuu watuangalie na sie wa mwanza tukituma maombi bwana, wasiwe bias basi uwii, ndo natuma hapa saa hii yaan
  7. K

    Iko under carpet ya Wema tena

    ni kweli hao majamaaa wanatoka,huyo phd alivokuja mwanza juzi kati kama wiki mbili ago, , waliongea kwa simu bw kaka akamwambia he is broke basi bi mdada akamtumia kwa M-PESA laki nne taslim za kitanzania yaan 400,000/= kwa matumiz ya wikiend hiyo, na shuhuda aliona kabisa imeandikwa pokea...
  8. K

    Kazi ya pr (public relation )

    Mimi ni binti mhitimu mwaka 2010 wa BA in Mass com specialized in PR, from SAUT nahitaji msaada wenu katika kupata KAZI/ AJIRA ya PR hata communications pia, nafasi za mikoani ni nzuri zaidi kwa upande wangu (yaani si Dar-es-salaam),kwa sasa niko Mwanza. Nisaidieni tafadhali wana JF.....napenda...
  9. K

    Masikini Wema Sepetu, Kakumbwa na Balaa Jingine tena!!

    kwa taarifa yyako ombea pale unapohitajikankuombea, me naombewa na najiombea na huyo wema pia atakiwa ombewa, kama hutaki acha, ukiona umuhimu muombee tu, kwan bei gan, usipanick mamaa
  10. K

    Masikini Wema Sepetu, Kakumbwa na Balaa Jingine tena!!

    yaani huyu dada, kaamua maisha yake pia kuyafanyia maigizo mhhh, yaan haishi skendo, mikasa na vituko duhh, jana kapata valangati huko ndani ya gari yake, sifa zooootteeee, mbwembwe kibao mara Dubai, gari, shopping, kumbe by mume wa mtu, sasa jana sifa NA majigambo zilitaka mtokea puani...
  11. K

    Kumekucha Tanzania

    basi nchukue mie hapa kishanshuda...........qwi qwi qwi qwi
  12. K

    Zamaradi wa Leo Tena........

    nanakaribia timia kuwa mwanamke sasa, by may au june hivi atarud hewan tena......................all the best zamaradi
  13. K

    Yuko wapi Fredrick Bundala aka Sky Walker?

    sio kweli ... yupo huku Tone Radio-Tz RFA maslahi hakuna aisee, yupo huko na kidbway na wengineo kutokea Kiss FM
  14. K

    Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

    heeee, hivi anko liyumba tayar yu nje.....nipeni contact zake fasta na mie nipate kigar chekundu kileee
  15. K

    Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

    kudadeki< na mie ngoja niingie mzigoni, haya mwenye mpunga wa kunipeleka dubai nikafanye shopping na matembezi na makorokoro yoteeee ya mraha< check me basi nami nijilipueeeeee....................he he he he he he heiyaaaazzz
  16. K

    Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

    na hilo jina lako kokwa kavu usiwe mkavu hivo hivo maana utamkosa, lazima uwe na maji majiiiii (mpungaaaazzzzz)
  17. K

    Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

    mr mzumbe hongera bana, ila ujiandae kwa yote brother, si kuna mtu hapo juu kasema bibie ana minyenyereeee
  18. K

    Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

    ha ha ha ha, qwi qwi qwi qwi qwi, @ sizinga unanivunja mbavu hapa adi basi ehh,eti waendelee kuuza mafuvu, uwiiiiii
  19. K

    Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

    katumwa????, kivipi tena tarizle???
  20. K

    Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

    ye si celebrity jaman, atawekewa thread tu hadi mwisho bana....
Back
Top Bottom