Search results

  1. Beira Boy

    Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

    Nimekuelewa sana ndugu yangu Hakika raha ni ya shetan lakin huruma ambayo ni chungu sana ni ya MUNGU BAS ISIWE KESI MUNGU NA WENYE KHAKI SHETAN NA WAHUNI Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Beira Boy

    Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

    Huu uzi huwezi waona wanaume wa dar Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Beira Boy

    Ya Corona na Charles Darwin, The theory of natural selection

    Chadema leo hawapingi au watapinga? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Beira Boy

    Askari Polisi auawa kinyama na kutupwa mtaroni

    Wanaume tunazidi kuisha kwa tukio hilo la mwanaume mmoja kuuwawa kinyama tugemee wanaume wengine zaid ya watano kutia kwa mbaloni kwa kile kinaitwa uchunguzi then kwa kile kinaitwa upepelezi bado unaendelea zaid ya miaka hata kumi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Mkuu apumzike palipo pema Au ni vibaya kuombea marehemu ndugu zangu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Niliamua nikuache uongee kwanza huku mwenzio nikiendelea kufunga sasa nimefungua sema ulikuwa unasemaje siku zile Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Beira Boy

    Nimenunua lori, niandikeje kwa nyuma?

    Kwani wanampigaga mawe shetan Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Beira Boy

    Nimenunua lori, niandikeje kwa nyuma?

    Shetan hapigwi mawe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Ubarikiwe kwa kulijua hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Sinywagi kabisa hicho kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Amen Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Atakusimamia ongeza tu bidii ya maombi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Wewe hata hiyo njaa ushawahi shinda? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Amina Nashukuru kwa Maombi yako Nawe pia ubarikiwe zaid na zaidi Hallelujah Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Shetan ana jeshi kubwa sana mkuu Lakin licha ya kuwa na jeshi kubwa hajawahi kumshinda MUNGU AU KUMSHINDA MWENYE KHAKIA Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Dah pole sana ndugu yangu Muombe tu MUNGU bila kufunga maana hakuna namna Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Asante sana ndugu yangu Ni lazima tumtukuze MUNGU maana sisi ni watumwa wake tu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Hapana mkuu nishaga hama kwa dada zaman sana saiv naishi mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Beira Boy

    Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Mkuu nimeteseka sana na ndoto za kukimbizwa na majoka, simba na mbwa .nashukuru sana kwa sasa naota ndoto zenye utukufu sana Unajua unaweza ukawa unadunda mchana kumbe unaombea usiku usifike ili usiote mandoto ya kutisha Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom