Search results

  1. kukundege

    Wanaume ifikie hatua muwe na moyo wa kibinadamu jamani

    UKALALAMIKE KWA RC ATAKUSAIDIA KAMA UMENYIMWA DYUDYU NA WEWE
  2. kukundege

    Zitto Kabwe aombe radhi hadharani kwa kupotosha umma

    Hata hivyoCCM walikopa bilioni 300s za wastaafu yaani hawa ccm ni majambaka kabisa
  3. kukundege

    Zitto: CAG hajasema pesa zimeibwa bali zimetumika (kuliwa) hazionekani zimetumikaje, zimekwenda wapi ila zimetumika

    Tuko nyuma yako zitto kabwe walete hela yetu walikuwa wakigawa kama njugu
  4. kukundege

    Mizengo Pinda: Mkapa hakuwa fisadi, madikteta ndo wanaweza kuwa mafisadi

    Dikteta anjitajirisha paspokuwepo mtu wa kusema . Akitokea mtu akisema unampiga kisu Noted
  5. kukundege

    Rais Mstaafu Mkapa, ataka mjadala wa kitaifa kujadili hali ya elimu nchini baada ya shule za Serikali kufanya vibaya

    Tarehe 26/4/2028 tukutane taifa zima kujadili suala la elimu maoni Yangu lakini
  6. kukundege

    Rais Mstaafu Mkapa, ataka mjadala wa kitaifa kujadili hali ya elimu nchini baada ya shule za Serikali kufanya vibaya

    Elimu bure bila malipo Nadhani analeta uchochezi kwenye elimu Wananchi ni maskini hawawezi kugharamikia elimu Hivyo anapaswa kuhojiwa kwa kuichonganisha serikali na wananchi maskini
  7. kukundege

    Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

    Mara paa Waigizaji wa FUTUHU WANAKUWA WAKURUGENZI
  8. kukundege

    Upinzani sasa wagawana majukumu ya uchonganishi

    Hahaaa Uchonganishi unakela kweli
  9. kukundege

    Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

    Ngoja nikajiandae kuwa DC au Katibu mwenezi wa mkoa ndo furusa hizo
  10. kukundege

    Baada ya jaribio kuzuia mkutano wa Heche, wafanyika bila ulinzi wa Polisi na hakuna hata sisimizi aliyeumizwa

    Na ieleweke hivyo kuwa polisi ndiyo wanaoleta shida kwani siyo lazima walinde mikutano wanakuja na mibomu yao
  11. kukundege

    Isaya Mwita azungumzia ‘kusifiwa sifiwa’ na Makonda

    Piga kazi jembe najua ccm wanakuwinda
Back
Top Bottom