Search results

  1. mean girl

    Manager na Secretary wanahitajika haraka

    Kazi inahusiana na nini,
  2. mean girl

    Je, anaweza kufunga tumbo lake??

    Kufunga tumbo kuna faida zake,pale tu utakapojifungua langu lilirudi kwa sababu ya kufunga hata uende gym wakati wa zoezi unatakiwa uwe umefunga kurahisisha tumbo kurudi katika shepu yake ya awali
  3. mean girl

    Chakula cha mtoto 8 months

    Swali,je mkimpa chakula mnachokula nyinyi wakubwa anakula au pia hapendi? Wangu alikataa vyakula vya kusagiwa lakin ukimpa hivi vyetu especialy ugali anakula vizuri tu, Muhimu musimpe vyakula mnavyopenda nyinyi mpeni chochote ambacho anapenda na kula vizuri,matunda mjaribu ya aina yote uone yepi...
  4. mean girl

    Customer service training consultancy

    Thank you island...
  5. mean girl

    Customer service training consultancy

    Hello,thank you. What we do is consultancy we dont have classes like other schools,what. We do is training for a short period which that why its indicated as a short course training course like a crash program or induction program About location for now we conduct our training in the office of...
  6. mean girl

    Customer service training consultancy

    We provide customer care/ service training to company employees and inviduals. The short course include: basic customer care skills, call handling, how to deal with difficult customers, receptionist skills. Contact us on: 0714883986/ 0714883986
  7. mean girl

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba nzuri je ina uzio na parking
  8. mean girl

    Utapeli wa nyumba za kupanga

    Habari wana jf,hiv karibuni kuna jamaa yangu mmoja alitapeliwa kias cha 3.15 mil kwa hawa jamaa wanaojiita madalali na wenye nyumba feki. Cha kushangaza ni kwamba aliporipoti polis,kumbe tayari hawa jamaa wanafahamika biashara yao pia wanafahamu nyumba ambyo hawa jamaa wanaitumia kuifanya ndio...
  9. mean girl

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Kuna mitandao ambayo inakuwezesha kununua bidhaa electronicaly yani kwa kutumia account yako ya benk ambayo imesajiliwa na huduma inaitwa paypal,ukiwa na hiyo account unaweza kununua chochote au hata kuuza chochote online mfano mtandao wa ebay au amazon chochote utakachonunua makato yatatoka...
  10. mean girl

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Yap jitahidi kuweka adres ya posta inayopatikana ili mzigo ukifika uende adres ya ukweli
  11. mean girl

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Inabidi uwe na account inaitwa paypal ambayo pia itabidi uwe na account ya bank yenye uwezo wa online purchase kama barclays,dtb ukiwa na account huko ndo unaweza kufungua paypall account
  12. mean girl

    pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    Kimsingi simgas ni unprofessional,so mtu yoyote anaweza kufanya kazi,hawafati taratibu za kuajiri na hiyo 20000 wala sio kweli mwisho wa mwezi ukifika majungu tele mwisho unamezea...
  13. mean girl

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    ukiota umeumwa na nyoka inamaanisha nini
  14. mean girl

    Is it African Gold Mine (AGM) or fraud?

    hiyo ni scam ndugu usitume hela ikiwa unatafuta kazi,its unprofessional kwa kweli bongo imekuwa jaa
  15. mean girl

    Nafasi za kazi zoom zinaajiri kweli?

    lol kaka hilo jina la mean girl was only kupata registration jamii forums coz jina langu na ninayoyajua yote used humu,ila thanks kwa kunipa moyo,mungu ndo mwenye kupanga
  16. mean girl

    TANESCO: bili za mwezi huu kiboko jamaa wamefanya maisha kuwa magumu zaidi

    Kaka unachanganya kati ya elimu na mfumuko wa bei nchini,kuwa na elimu au kutokuwa nayo haipi serikali chhance ya kupandisha huduma bila ya kuzingatia maisha ya jumla ya wananchi wake wote,nani alisema ukiwa na elimu kubwa ndo maisha yatakuwa mazuri? Ajira zenyewe ukiomba ukiwa na elimu kubwa...
  17. mean girl

    kama umesoma business adminisrtaion hii hapa kazi itakufaa.

    asante ndugu lakini website mbona haipo ukii click
  18. mean girl

    Msaada:mtaji wa .1.5 unafaa biashara gani?

    Natanguliza shukrani za dhati,na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo? Asanteni
Back
Top Bottom