Search results

  1. T

    BAVICHA watangaza maandamano yasiyo na kikomo!

    Kupinga uonevu wa polisi kwa raia, wanafunzi kunyimwa mikopo na sifa wanazo, wamachinga kuonewa. source: chanel ten news
  2. T

    Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Tatizo kubwa tena hapa chuo cha makumira kilipo hakuna mwakilishi wa wananchi(mbunge)
  3. T

    Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Sababu ya leo, tunataka wenzetu waliokamatwa jana waachiliwe, waweke matuta, wanafunzi wanagongwa mara kwa mara.
  4. T

    Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Sasa hivi wanafunzi wanaimba parapanda. polisi naona wameishiwa siwasikii tena
  5. T

    Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Wanafunzi wametulia, wana kikao kwa sasa. kuna mmoja kapigwa risasi mguuni anapelekwa mount meru sasa
  6. T

    Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Don't pre-judge. uliza chanzo uelezwe.
  7. T

    Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Kuna mwanafunzi kagongwa na kufa, wanafunzi wakakusanyika kwa wingi. walipokuja polic wakaanza kupiga mabomu & risasi
  8. T

    Jamani namtafuta mbunge wangu nani kamwona? Je nani mwingine mwanajf anamtafuta mbunge wake?

    Linaanza na Jeremia, tupo pamoja hata mimi namtafuta, nikimwona ntakujulisha. ila mimi sikumpigia kura
  9. T

    Jamani namtafuta mbunge wangu nani kamwona? Je nani mwingine mwanajf anamtafuta mbunge wake?

    Mimi namtafuta mbunge wangu arumeru mashariki:Jeremia Solomon Sumari - sisiem
  10. T

    Hili limenisikitisha sana!

    Nipo kwenye basi from arusha to dar, barabara hii ni muhimu kwa taifa, ila hali yake hasa kutoka mombo ina mashimo sana
  11. T

    Msaada: Ni zaidi ya mwaka sasa sijapata nafuu

    Unaamini uponyaji kupitia DAMU YA YESU?
  12. T

    Natafuta marafiki Arusha

    Karibu sana. mi nipo makumira. si mzoefu sana wa jf so sijui namna ya kpm
  13. T

    Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

    SWALI KWA MLETA MADA: Unajua migodi ya Tz samax,buzwagi nk. inatoa madini kiasi gani kwa siku? je, sirikali inajua?
  14. T

    Nini amekifanya Mbunge wako jimboni kwako toka 2010 hadi sasa?

    Mbunge wangu Jeremia Sumari(ccm) arumeru toka alipochaguliwa hajawahi fika bungeni. hata kuapishwa bado ni mgonjwa.
  15. T

    Kula ndotoni...

    Lengo la kulishwa ndotoni si ili ushibe ila ni mpango wa shetani kuingizwa kwenye maagano bila kujua. unahitajika maomb
  16. T

    Mawaziri na wabunge waliofanya vibaya katika bunge la bajeti...

    Jeremia sumari-arumeru mashariki is the worsiest mp
  17. T

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    Nimejisikia vibaya sana. wanachofanya wabunge wa ccm ni uhuni kwa wananchi. inakera! inakera! inakera! inakera! inakera
  18. T

    Naombeni masaada kuhusu mbunge wangu Jeremia Sumari

    Toka alipochaguliwa hajaingia bungeni kutokana na ugonjwa. sheria/katiba vinasemaje? hata kuapishwa bado
Back
Top Bottom