Search results

  1. habayu

    Kisigino kinaniuma sana!

    Alex Mponela naomba utusaidie na umsaidie ram
  2. habayu

    Kisigino kinaniuma sana!

    Alex labda usaidie wadau ulipona kwa tiba ipi?
  3. habayu

    Kisigino kinaniuma sana!

    Salamu wadau, Najua ni muda umepita ila nina maarifa kidogo kuhusu haya maumivu ya kisigino kwani nami niliwahi kupata tatizo hili na nikafanikiwa kupata tiba. Nilikuwa na maumivu yanayofanana na mtoa taarifa ya awali kuwa kisigino kinauma sana muda tu ninapoamka toka kitandani (asubuhi) na...
  4. habayu

    Tiddo Muhando tutakuwa live kuripoti kila kitu muda wote wa uchaguzi

    AZAM TV wako makini na malengo habiti ya kuliteka soko la habari Afrika mashariki.Nawatakia kila lakheri
  5. habayu

    Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Kwa wanammjua Khalifa Khamis hawashangazwi na manenno yake haya kupitia kwa Taasisi yake ya Bukhary.Hii si mara ya kwanza kwani katika chaguzi zote amekuwa hakosi kupigia chapuo chama chake kwa kupitia mwamvuli ya dini. Ila watu wanamjua na amepoteza mvuto kwa kiasi kikubwa na sasa hana athari tena!
  6. habayu

    Viwanja vinauzwa, viko Goba, kuanzia milion 5.5

    Tufahamishe kama viko sehemu iliyohakikiwa na wizara ya ardhi ou la (surveyed area or not) na je vina hati?
  7. habayu

    Tafsiri halisi ya neno Mswahili

    Zanzibar kwa walio wengi hawana lugha za asili na hii inathibiti ukiitazama historia ya Zanzibar ila kuna sehemu wanaongea kiswahili kikwa katika rahaja na kimaeneo.Mathalani wenyeji wa makunduchi waonge kiswahili katika rahaja za kimakunduchi ambacho mswahili wa kawaida watakuacha kwenye...
  8. habayu

    Tafsiri halisi ya neno Mswahili

    Mswahili kilugha ni mwenyeji wa Pwani ya Afrika Mashariki hususani Zanzibar,Quilo (Kilwa ya sasa) na sehemu za bara ambazo zilipata kuhusiana na watu toka bara Arabu kibiashara. Kisheria Mswahili ni mwenyeji wa Afrika Mashariki ambaye ni mzungumzaji wa Kiswahili ila kuna maana nyingin nyingi...
  9. habayu

    Drip agriculture

    Mimi nina eneo mitaa ya Mwarusembe,Mkuranga Pwani na ningependa nipate gharama za uchimbaji kisima maeneo hayo. Pili ikiwa eneo halina maji matamu kuna utaalamu wa kuyabadili yawe matamu na kuweza kufaa kwa kilimo na matumizi ya nyumbani?
  10. habayu

    David Kafulila,na Serikali Tatu

    Mhe: Kafulila katulia na amewasilisha vizuri hoja zake
  11. habayu

    Bunge Maalum Lapigwa Changa la Macho!? Lapewa"Act of Union" na Kudanganywa ni "Articles of Union"!.

    Watawala wetu lazima waelewe kuwa nyakati zinaenda zikibadilika na hata nana ya kutufunikafunika lazima ibadilike, Ninawasiwasi kuwa kuunda huku katiba mpya pengine ndio inaonekana fursa ya kurekebisha mambo ya muungano ila kwa mujibu wa danadana hizi ni dhahiri kuwa zinafichwa kwa makusudi na...
  12. habayu

    Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

    @ mcfm40...........Good observation!
  13. habayu

    Vigogo wagawana viwanja vya Gezaulole

    Nilicho amini sasa ni kuwa sisi walalahoi tuendelee na viwanja vyetu vya kienyeji...vile vya kuhesabiana miguu na waheshimiwa waendee na viwanja vyao rasmi. Hii itaendelea kutunyima fursa ya kupata dhamana ya mikopo mikubwa katika asasi za kifedha kwani hatuna hati za kutumika kama dhamana.Anko...
  14. habayu

    Viwanja: Gezaulole, Kigamboni - Manispaa ya Temeke tarehe ya kubandika majina imepita?

    Mimestaajabishwa na idadi ndogo ya majina iliyotolewa (742) ikilinganisha na idadi ya viwanja 1800 viliyoahidiwa katika matangazo ya awali.Pili kati ya wachache waliopota tunaona baadhi ya majina yakijinyakulia viwanja zaidi ya kimoja kama ionekanavyo hapo chini: S/N MWOMBAJI...
  15. habayu

    Zanzibar inastahili kuwa na wajumbe wawili tu katika tume ya katiba

    Mimi naamini kuna siri kubwa ndani ya muungano huu na nijambo la msingi ikiwa mkataba wa muungano wenyewe ukawekwa wazi ili kila Mtanzania auelewe.Najaribu kujiuliza hivi Nyerere na Karume walikuwa hamnazo kuukubali......?? na je ni mambo gani walikubaliana....??? na ilikuwaje wadau wakuu ambao...
  16. habayu

    Dawasco na operesheni sitisha maji taka

    Katika siku za maisha yetu kama watanzania nimekutana na operasheni nyingi za mashirika ya umma yakiwa na lengo la kuhakikisha yanapata makusanyo ya kutosha ingizigatiwa mengi yao sasa yako taabani kipesa. Katika kudai haki yao hiyo muhimu kwa ustawi wa mashirika na taasisi zao vilevile...
Back
Top Bottom