Search results

  1. mohsein

    Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana lolote

    Kwani kwenye hizo nchi za wenzetu,walizaliwa tu Wakawa na barabara nzuri,highways/flyovers bila kuanzia huku? Je bwana kibanda anajua kuwa hata kwenye nchi hizo foleni bado ni kubwa pengine zaidi ya bongo . Nafikiri bwana magufuli anasimamia angalau kwa asilimia zaidi ya 70 vizuri ukilinganisha...
  2. mohsein

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Natamani kusikia akijitetea,asihukimiwe bila kupewa nafasi ya kujitetea..tumsikie..
  3. mohsein

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bado tuna ndoto kuu... Let them looses... Let's us wins .... ManUtd for life !
  4. mohsein

    Kisiwa cha MAFIA kimeficha SIRI nzito

    Kilichotakiwa ni mwenye ufahamu na aweke hapa,sio maneno mengi na kashfa.wengi wetu hatujui historia za majina.. Baada ya karne kadhaa hukawii kusikia hiyo baraka Obama rd imekuwaje kuwepo bongo. Kifupi mwenye uhakika wa jibu na aweke tujuzwe!
  5. mohsein

    My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

    kaka, muogope huyo demu kama ana ukoma!!!! kwani demu au mke wa mshikaji ni noma saaana! pia kwakuwa ana dinywa na watu kibao huenda tayari ana "tanesco"mwilini. achana nae !! ikibidi mchane kabisa kuwa akizidi utamwambia mmewe!
  6. mohsein

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    kwa hakika wametuzidi akili, na wanajua nini kichafu,wapi kumekatazwa...ila duh!! binaadamu sasa ukisikia neno "la mchina hilo" ukiacha kuangalia unayanyima haki macho ysko..kwani utaona dude hilooo....mawazo yanakuwa kitigotigo tuu...kah!:wink2:
  7. mohsein

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    hhahaha! kweli ni ndefu, mimi nimejigeuza geuza kwenye kitanda na laptop yangu hadi kumaliza! ila jibu naona nitampa kesho, maana ni ndefu sana aisei!!
  8. mohsein

    Msaada wa Anti-vir

    mkuu ulichofanya ni kuwa, wakati laptop yako ilipokuwa na avast 5, inaonyesha ili fanya scanning ya virus basi baada ya kumaliza ikakamata labda kirusi au spyware . na kawaida ya anti-virus zote ni kuwa zinachukua lile faili lililoharibika kwa kirusi na kulibadilisha kwa kulipa jina lingine...
  9. mohsein

    Nahitaji mpenz

    duh! umemng'amua kuwa ni judith ...kudadeki!! haya lete habari zake,maana kama ameanza kuwa muongo kabla hajakamata mtu humu si atakuwa mapepe huyu? hahaha!
  10. mohsein

    Nahitaji mpenz

    nothing fo good, kwangu i dont care which city or which province u r ...kwakuwa hukuweka masharti magumu kabisa, ila kwangu mm nina masharti moja au mawili yenye a be na che hivi 1.uwe tayari kwenda kupimwa ngoma,lazima uonyeshe cheti na badala ya hapo mguu kwa mguu hadi hospitali bingwa,hii...
  11. mohsein

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    wale wa chelsea na wasogee karibu, na wale wa livaFool na AseNOO waanze kutengeneza nywele zao vizuri, kinyozi anaendelea na kazi yake leo jumanne.
  12. mohsein

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    labda wanatisha kwa sura, subiri siku zenu zinahesabika, ndugu yenu chelsea anaanza kukoma masaa machache yajayo.
  13. mohsein

    Dr. Slaa Akamatwe, ahojiwe na ikiwezekana achukuliwe hatua

    tutumie akili tu , kwa upande mmoja au mwingine mzee Gembe upo sahihi kabisa kukamatwa huyu mtu,au kama sio kukamatwa basi kuminywa kidogo ili siri za serikali zisivuje .lazima tuangalie hapa, sio tu kwakuwa sisi ni chadema au tlp basi ndio kila kinachofanywa na chama tawala ni hovyo.,lakini pia...
  14. mohsein

    Augustine Mrema Atunukiwa PhD

    duh! hii ndio bongo! kwani jamani naomba kuuliza,wanalipwa hawa watu wakipewa hivyo vi phd na dk vyao vya kupeana?maana ipo siku utasikia mzee yupo UDSM anafundisha waungwana chuoni ...dah!:wink2:
  15. mohsein

    Binti wa miaka 11 ajifungua salama

    hii imekaa kidaku zaidi, sina uhakika kama ametumia jina vizuri, kwanini asitumie jina la mme wake, kama desturi yetu wadanganyika?au aseme " mtoto wa miaka 11 ajifungua mtoto",ila kwa kuuzia gazeti, jina la lowassa litafanya gazeti kuuzika mara moja.!
  16. mohsein

    Experience requirements katika nafasi za kazi zinaudhi

    hii inafanya wanafunzi wengi kujikuta wanakosa ajira, na baadae kudumbukia kwenye sekta tofauti na tulivyosoma.inatia hasira sana kuona kuwa kila sehemu watu wanaulizia experience...sasa jamani ,mtu akitoka kazini ,atapata wapi experiences?:A S 13: hili linafaa kuangaliwa kwa undani kabisa...
  17. mohsein

    Kutatokea Machafuko makubwa Tz mwaka huu: Sheikh Yahya

    huyu mzee lazima atakuwa mgonjwa! aliwahi kutabiri kuwa hakutakuwa na uchaguzi wa rais,UKAWA atakaeshindana na kikwete atakufa,HAKUNA ALIYEKUFA sijui kwann serikali isimkamate,au kumsimamisha asilete vurugu kwenye nchi yetu.kwann asijitabirie yeye lini anakufa ili watu wajue ujinga wake...
Back
Top Bottom