Ana vituko lakini kipaji cha mziki anacho, namkubali sana Madonna, napenda nyimbo zake kama Frozen, power of goodbye, substitute for love, holiday, na nyinginezo
Utaendelea kuiona TBC 1 pekee tu kwa kuwa ndiyo channel ya bure Ambayo providers wanatakiwa waionyeshe, local channels zilizobaki ni option ya service provider kuonyesha bure au asionyeshe kabisa
Mkuu Kwa mtu ambaye hajazisoma hukumu hizo anaweza hisi walionewa lakini ukizisoma hukumu hizo kama una roho nyepesi unatokwa machozi jinsi watoto walivyofanyiwa
Mara ya kwanza nazisoma hukumu zao zote kuanzia kisutu nilihisi kutoa machozi Kwa jinsi watoto walivyofanyiwa , ni moja ya kesi ambazo Prosecution walijipanga vizuri
Nakuunga mkono mkuu, game kama dhidi ya middlesbrough haikuwa ya draw, tulistahili point 3, mwaka huu arsenal ana kikosi kipana Lakin baada ya draw ya middlesbrough niliona matatizo yale yale yanajirudia ya misimu iliyopita, tungekuwa tunaongoza ligi now, msimu huu tupo vizuri
Huyo mtoto unayetaka kumtoa katika beneficiaries ni lazima utoe sababu why, kuna case law zimetoa muongozo wa sababu hizo moja wapo ni kama huyo mtoto alitaka kujaribu kukua, kuna zingine pia ngoja nitafute hizo case ntarudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.