Search results

  1. A

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Kwani umeona chupa za pombe kwenye hiyo video? au wewe unayo video nyingine? kwani umeambiwa hapo nyumbani kwake walifanya kikao chumbani? Lwakatare na vick ni washirika wa muda mrefu. mazungumz ya vick na mtu aliyeingia au kupita na kuwasalimia kisha kumuuliza vick habari za siku, naona...
  2. A

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Acha jazba. Hapa CHADEMA inaingiaje? Lwakatare ana kesi ya kujibu. Acha akaeleze juu ya hayo aliyonukuliwa kwenye clips. Siamini kama wewe ni miongoni wa washirika wa Lwakatare. Au siamini kama CHADEMA wamemtuma kufanya uhaini huo alioufanya.
  3. A

    Lowassa amponza Kibanda: Taarifa za awali zahusisha kutekwa na urais 2015

    Nimeisikiliza hiyo video kwenye YouTube. Kwa kweli nitashangaa ikiwa Lwakatare bado yuko nje hajaswekwa lubango mpaka sasa. Huyu jamaa ni shushu mstaafu, naona ushushu wake anauendeleza CDM.
  4. A

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Naam Qur'an iko wazi juu ya ukafiri wa wakiristo. Na hili neno ukafiri si tusi wala kashfa. Suala la kanisa lina parallel army si la waislam kuzua. Wamesema wenyewe maaskofu. Lakini hii ni issue ya serikali kusema ikiwa huu ni uzushi. Kwanini serikali inakuwa kimya. Mbona magazeti tu ya udaku...
  5. A

    Maswali ya msingi kuhusu uraia wa Kinana (katibu wa CCM taifa)

    Kama ambavyo Mohamed Mtoi wa JF anataka kufanya kwa Kinana. Inashangaza!!
  6. A

    Maswali ya msingi kuhusu uraia wa Kinana (katibu wa CCM taifa)

    Itabidi wewe uanze kuthibitisha uraia wako kwanza kabla ya kuhoji uraia wa mwingine. Maana isije ikawa na wewe si raia. Lete certified copy ya birth certficate yako na wazazi wako kuthibitisha kweli wewe ni raia halali wa tanzania.
  7. A

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Jibuni hoja. acheni maajungu. Fanyeni tafiti kabla hamja conclude kuwa eti thread ya tunte ni majungu. Slaa si malaika, ana tuhuma kibao. Moja iko wazi. Kutelekeza familia na kuchukua mke wa mtu.
  8. A

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Mbona hamtii neno hapa. Hii ni sehemu ndogo tu ya ushahidi. Je, waislam wakihoji hili ni wadini au wachochezi? Baraza la Mitihani halijatajwa, TRA bado, Waizara ya fedha bado haijatajwa. Hebu angali hayo mamilioni ya Tsh yalienda kwenye taasi za kanisa. Hii ni sehemu ndogo tu. nadhani ni just a...
  9. A

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    1. Kashfa gani dhidi ya wakirsto inayoendezwa na waislam. atoe definition ya kashfa. He is too generous. Kwani muislam akisema Yes si mungu, hakufa, wala hakufufuka ni kashfa? juu ya nani? 2. Waislam hawawezi kuchoma Bibilia sembuse Qur'an! Alete ushahidi wa wazi. sio kuropoka tu. Moja katika...
  10. A

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Mawaziri Manaibu Muslims 8/30 (26.7% ) 7/25 (28%) Christians 22/30 (63.3%) 18/25 (62%) Nadhani Mzee wa CDM, Ed Mtei atafurahi sana
  11. A

    Wapemba na kuvunja muungano

    Kama ni kundi haramu eti kwa kujadili Muungano, je Slaa naye ni haini kwa kukataa kuutambua muungano kwa kuwa hajawahi kuiona hati ya Muungano?? Waacheni wa Zb waamue hatima yao. Watanganyika hamna haki ya kuwaamulia Wazenj wanachotaka. Halafu kuna mmoja hapa JF anasema eti kundi la Uamsho...
  12. A

    Naachwa kisa ni Dini

    Unao uhuru wa kuchagua MOTO au PEPO. Na atakayeongoka atakuwa ameokoa nafsi yake, na mwenye kukufuru basi ni kwa hasara ya nafsi yake.
  13. A

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Hongera Mh JK. Ama kweli wewe ni daktari wa siasa. Timu imetulia.
  14. A

    Dr. Willbroud Slaa on his TWITTER account today!

    Naiona CDM kama MMD ya Chiluba vile! mmh sijui!!!!!
  15. A

    Chadema Ikiwa ya Pili Uzini Itakuwa Ushindi Mkubwa!

    Wewe ni LIBANGI AU BANGI? Uchaguzi haujafanyika, wewe umeanza kutoa matokeo. Ama kweli vilaza humu JF wamejazana.
  16. A

    Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

    Jambazi likikamatwa na polisi, basi huwa pia linakuwa polisi jamii. Yaani saidia polisi. Blandina please corporate with police kuwajata wizi wenzio.
  17. A

    Blandina Nyoni kujiuzulu?

    Kwa hiyo JK naye atakuwa amecopy barua ya David Cameron. Makubwa haya! Akhaaaa!!!!
  18. A

    Nape ajibu makombora ya Marando

    Hee! yaani wewe ni m/kiti wa CDM Ubungo!! wewe si ulikuwa unakaba watu juzi juzi tu? Mamamaaaaaaaaaaaaa!
  19. A

    Nape ajibu makombora ya Marando

    Naomba mwanajamiiforum mmoja adondoe porojo moja tu ya Nape, tuanza kuijadili. Msiseme jumla jumla km hamjaenda shule. :dance:
  20. A

    Mahakama ya Kisutu yawahukumu wezi wa EPA, Maranda na Farijala miaka 22 jela

    Kila mtu anayehusika na wizi wa epa ana kesi yake. Maranda na Farjala hawakushtakiwa kwa niaba ya akina Patel. Patel na wenzao wanakesi yao mahakamani. Inatia faraja japo kwa maoni ya mlalahoi wangepewa adhabu kubwa zaidi. Na hashimu maamuzi ya mahakama.
Back
Top Bottom