Post Description: Assistant Accountant (AA)
Key Responsibilities and Accountabilities:
1. Maintain, update and reconcile the following on a periodic basis:
All bank accounts;
Petty cash and all relevant records;
Finance section stationery supplies...
Dah kwa ukweli hii namba tatu imewahi kunipata, yaani i have a fear in my heart for mother in laws...any mother in law huwa namuogopa sana kwani yaliyonipata si madogo....but life goes on...no one dies for the other
Hii There
Trust me there was a time when i was feeling the same but today i am dieing to live, i live every moment and second of my life to the fullest...i do not want the day to get over so that one day reduces... trust me honey life is beautiful....just enjoy doing all the crazy things you...
Kweli kwenye msiba kila mtu analia kwa reason yake, mfano mimi nikienda msiba yeyote namkumbuka marehemu baba yangu and i can not stop crying mpaka watu wanashangaa and they ask was he/she ur near one?!!!
Ishawahi kutokea dada mtu alipoteza kaka yake; huyo kaka alikuwa anamsaidia kifedha...
Hivi wewe unayetaka hizo 50,000/ nataka nikuulize; hizi kazi ni zako tht u r assuring us ( job seekers ) wakitoa 50,000/ wanapata kazi!!!
Unatufanya mjinga ehhh? kazi hutoi wewe then how can u assure us tukikupa 50,000/ tutapata kazi??
shenzi typu weh!!! unataka kuwaibia wasiokuwa na...
HarusiYetu thank you very much for a detailed explanation. Naona umewatetea sana EVERYTHINGDAR, nataka niuliza isnt it a good advertsiers duty to make sure what he/she is advertising for is geuine? Then how come LIVING FUND was cropped up by EVERYTHINGDAR?
Will u pls justify this one thing...
Shemeji alale chumba cha watoto pekee yake, watoto wahamishwe
Mtoto wa kike alale na Mama na wa kiume alale na Baba
Ila mgeni mpe heshima yake and give him children room, lakini be careful whenevr he is with your kids....Maana Magays wanaweza kumrukia mtu yeyote anytime.... be alert all the time
Jamani enjoy the time God has blessed u with........forget whatever happened and stop going into the root of the problem, rem that He had a problem now you are blessed that the problem is gone so ENJOY THE MOMENT, LEARN HOW TO THANK THE BLESSINGS OF LORD......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.