Search results

  1. S

    Mh. Edward Lowassa ahani msiba wa Betty Ndejembi

    Inaelekea anaogopwa sana. Watu wengi wakindika habari zake wanaogopa kuandika waziri mkuu aliyejiuzulu. Ni bora kuandika ukwelii kuliko kudanganya umma.. Hata kama atakua raisi lakini historia haidanganyi. Huyu ni waziri mkuu aliyejiuzulu na sio waziri mkuu mstaafu.
  2. S

    Mh. Edward Lowassa ahani msiba wa Betty Ndejembi

    Hivi official report ya kifo cha huyu imeshatolewa. Aliuwawa au alijiua?
  3. S

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Ina maana yeye tu ndio iwe na matatizo?...Umeenda kwenye county record mji wa Boston ambako alikufa...Huko nako ni nini? Alipozikwa Mariland County hiyo inaweza isirecord chochote lakini alipofia death certificate ni lazima itolewe na county clerk. Na ikishatolewa ni public information for...
  4. S

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Marekani hakuna siri. Si wameonyesha kaburi hilo na kuona jina lililotumika.. Tafuta kkwenye hiyo cemetery hawana record ya jina hilo. Tafuta Marekani nzima kwenye hii site Death.PublicRecordsChecks.com -Find Any Death & Obituary Record You Are Looking For - Right Now! hawana record ya jina...
  5. S

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    No hiyo siyo kweli Marekani ukienda kama hujui sehemu ya ndugu yako alikozikwa wanakuonyesha. Wanayo ramani kabisa na pia hata ukiingia kwenye search kwenye website yao inaonekana kama unajua jina alailotumia ndugu yako. Na kwa kutuonyesha kaburi hili ina maana alizikwa kwa jina hilo BALLALI...
  6. S

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    I don't understand kwanini unakalia kusema watu wazungumze ya maana. Hili sio la maana kwako? Ina maana Gavana amekufa hakuna data na unaonyweshwa Kaburi unasema sio jambo la kuzungumza. Maendeleo yanaletwa na ukweli... The past predict the future.. Bila kujulikana ukweli huko mbele ni sanaa...
  7. S

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Na pia kama kaburi lina jina lake Ballali ..mbona ukisearch hakuna habari za kifo chake kwenye hiyo cemetery? Manake kama ilikua ni kifo cha siri basi wasingeonyesha picha ya jina la kaburi hilo na kusema walitumia jina lingine. Lakini picha hiyo na inaonyesha walitumia jina lake halali basi na...
  8. S

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Umenikumbusha mbali sana na ni jambo zuri sana unalolifanya...I doubt kama law schools za Tanzania wanatumia case zetu kufndisha au ni za kuimport tu bado... Hizo zingine link iko wapi? Keep up doing the good work... Hii case sikumbuki ilivyotoakea au wakati wa hukumu lakini nakumbuka jinsi...
  9. S

    Maandamano makubwa kumtaka Kapuya akamatwe na kushtakiwa

    Watanzania kuna wengine vichekesho sana. Kubaka ni kubaka. Na kubaka mtoto mdogo ni kubaka mtu asiyeweza kujitetea. Iwe huyo mtoto alikubali au la. Mtu mzima unatakiwa kujua jema na baya. Anayesupport huyu kibaka, kwanza aliye kiongozi ni mmoja wao. Ingekua mama, dada shangazi yako...
  10. S

    Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

    Unakwenda kufungua tawi jipya au unataka upate kura kwenye EAC? Huko kudanganya watu ili upate kazi ya ubunge,. Kwanini umekimbia NY? Hutaki kulipa Child Support halafu unajidai matawi ya CCM. Kwanini hujivui gamba kwanza wewe? Tunza familia yako kwanza kabla ya kujidai unaipenda Tanzania/CCM...
  11. S

    Mhariri wa Mwananchi, Theophil Makunga, naye kuburuzwa Mahakamani leo!

    Tatizo kubwa kuandika sheria kwa lugha ambayo wananchi hawaielewi. Halafu ndio wanataka kufundisha kwa lugha ya kiswahili tu nchini. Lord have mercy on us....we surely need a new katiba ASAP.. It will be well overdue by 2014
  12. S

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Mimi ninasupport maandamano ingawaje sio a quick solution lakini pole pole tutafika....ninachosema ni kuwa...Huwa ninafuatilia hii forum lakini ukweli ni kuwa tutokage huku na kuspread news za mambo mengi kwenye social networks nyingine pia. Kuna wengi hawajui hii forum na kuna wengine...
  13. S

    Tanzania: Land of constant complaints. The country seems well, but corruption is rampant!

    Who paid him to write this? When people question things it doesn't mean they complain... Should walk a mile on the shoes of those he so called complainers and tell him to write again his story and see if he will think that way...Some people?? Geeze
  14. S

    Tuhuma za Ufisadi, Afisa Mtendaji Ajiua huko Iringa

    Kwa hiyo kaondoka na hela yetu au wananchi watasomewa mapato na matumizi ya hela zao. Isijekua ndio case closed halafu ndugu yake waendelee kupeta na hela aliyochukua. Kama ndugu zake wanampenda wasafishe jina la ndugu yao. Wawaachie wananchiwasomewew na kuhakiki mapato na matumizi hayo kama...
  15. S

    Idara ya Siasa na mahusiano ya kimataifa ndani ya CCM! Hii imekaaje?

    Hivi hii ina maana gani. Nilivyoona kamati mpya za CCM hii idara sikujua kuwa inawakilisha CCM kimataifa (ulimwenguni) Nilizania ni mahusiano kati ya CCM na vyama vingine? Ina maana kila chama kitakua na mwakilishi wake kimataifa? Ina maana tukienda nje ya nchi tunaenda kwa kivyama au hii...
  16. S

    Daktari anamjisi mtoto, amwambukiza Ukimwi

    The punishment doesn't fit the crime here...He got way too easy... Halafu Million mbili ndio fine!!! What was that? Na dawa za ukimwi atalipa kwa huyo mtoto maisha yake yote au wazazi wanamsue tena huyu? Wangemfilisi huyu kila alichonacho kiende kwa huyo mtoto...Na hiyo 30 yrs ni without parole...
  17. S

    Kwa hili tuwaunge mkono ndugu zetu waislam! Hapa wapo sahihi kabisa!!

    Fashion Fashion...Hahahaha utapiga mawe hapa??????? .
  18. S

    Kwa hili tuwaunge mkono ndugu zetu waislam! Hapa wapo sahihi kabisa!!

    Huu ni ushamba wa kibongo wa kujifanya tunajua sana. Hapa nilipo as long hakuna dress code you can wear anything as long you are comfortable...Na hakuna anayepoteza muda kushangaa shangaa...
  19. S

    Ombi kwa waishio marekani

    10 years citizen bado anafanya kazi za kinyemela???? ...Mhhhhh what went wrong? Kabla hujaja mshauri arudi shule. Akimaliza shule na kupata kazi ndio uje la sivyo mtaishia devorce tu. We have seen a lot....Na pia hata kama utakuja na visa ambayo itakuruhus kufanya kazi labda uwe na network nzuri...
  20. S

    Kwa hili tuwaunge mkono ndugu zetu waislam! Hapa wapo sahihi kabisa!!

    Wow! Hata siamini nasoma hii in this day and age...Halafu watu wengine wanasupport ati wapigwe mawe. Kwanza hebu niambie hiyo dini na mavazi hapa vinahusiana vipi? Kwanza ulijuaje kuwa aliyevaa hivyo siyo muislamu? Na pia who are you to decide what someone should wear or not? Kwanza ungekaa...
Back
Top Bottom