Search results

  1. Crucifix

    Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  2. Crucifix

    1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

    Chifu ni jina la kikoloni. Cheo chao kwa lugha yao waliitwa nani?
  3. Crucifix

    Tundu Lissu ndiye mtu Jasiri zaidi Tanzania tangu tupate Uhuru

    Mafanikio gani zaidi ya ngonjera za kila siku? Kitu cha maana mpaka sasa ni kuwaachia mashehe na kuwarudishia kina Mbowe pesa za faini; lakini nacho ni dosari kwani nchi inaongozwa kwa utashi wa rais au taasisi thabiti?
  4. Crucifix

    Kipande cha SGR Morogoro to Makutupora 61%

    Kuna kipande toka mwaka juzi tuliambiwa kimefikia asilimia 88 mpaka leo sijui zimepanda au kushuka - Dar mpaka Moro
  5. Crucifix

    Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

    Bodi ya ligi walipiga simu harakaharaka kwa vilabu. Klabu yangu pendwa haikukubaliana na ujinga huo ikapeleka timu kwa mujibu wa kanuni. Klabu nyingine ikakubali muda mpya. Mechi ikavunjika. TFF wakasema wamesikitishwa, Yanga wakasema wamesikitishwa, Simba wakasema wamesikitishwa na wakadai...
  6. Crucifix

    Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    KWANI HATA MAGUFULI SI WALIKANUSHA KUWA SIYO MGONJWA!!!!!!!!!!!! NANI ANAWAAMINI TENA HAWA WATU? WE STLL CAN'T BREATHE
  7. Crucifix

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Kama hakuna limit mwambieni aache kutujambia
  8. Crucifix

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Upande ulioshupaza shingo ni upande wa mkundugai peke yake
  9. Crucifix

    Mazungumzo kati ya Rais na Vyama vya siasa , Vyama vyaambiwa vipeleke ajenda zao kwa John Shibuda au kwa Msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi

    Huyo rais wenu hana katibu? Au ofisi yake haina katibu mkuu? Hoja za wanasiasa zinajumuisha tuhuma dhidi ya huyo msajili, tume ya uchaguzi na malaya wa kisiasa kama huyo Shibuda: iweje tena watuhumiwa ndio watunge ajenda?
  10. Crucifix

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Angalia madikteta wanavyozi kwa hofu, hakuna upendo hapo
  11. Crucifix

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Kuna maiti za kuonea wivu lakini siyo maiti ya mtu aliyejitukuza na kutukuzwa pengine kuliko hata Mungu aliyetuumba. Unakumbuka Mwanri alisema eti Mungu aje duniani kumshukuru huyo mungu wenu. Aibu
  12. Crucifix

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Petro alimkana Yesu kwa hofu ya Mayahudi. Marehemu alitesa watu kwa hofu ya nani?
  13. Crucifix

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Yesu ni adui wa haki? Hao watoto malaika ni adui wa haki? Lakini huyo malaika wenu aliyetangulia alikuwa ni adui mkubwa sana wa haki? Haihitaji PHD kujua kama siyo mnufaika wake
  14. Crucifix

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Ni kweli Baba Askofu hana kinyongo. Mwenye kinyongo ni huyo aliyetwaliwa. Mtu gani hata katika mauti yake bado kuna watu wanaswekwa jela kwa kusema tu anaumwa. Hapa mtoa mada hajamsemea Baba Askofu bali kamsema huyo katili wenu
  15. Crucifix

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Nani kasema askofu hatafufa? Askofu huyu akifa atakumbukwa kwa tendo jema. Huyo sultani wenu hakujali haki
  16. Crucifix

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Kama kweli uliwahi kupita shule tafuta palipoandikwa askofu hatakufa. Wewe, mimi, sote tutakufa. Tatizo ni kujifanya mungu-mtu kwa ulevi wa madaraka.
  17. Crucifix

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Huyu kaka Aida namwombea awe na moyo mvumilivu. Majitoleo yake yatapokelewa na Mungu na tuzo pia ni hapahapa duniani. Lakini huyu aliyezoea kusema "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" hakupenda kusikia ukweli - bila shaka - ukweli unauma
Back
Top Bottom