Search results

  1. M

    Membe adaiwa kusaidia kampuni ya wanandugu (MEIS) kuchota bilioni 54

    sin hakika kama haya madai ni ya kweli au lah, ila kinachonitia wasiwasi ni gazeti ambalo limeripoti habari hii. sote tunajua kuwa gazeti la mtanzania linamilikiwa na Rostam na kazi yao kubwa ni kumsafisha Lowasa na kuwachafua watu wanaoonekana kuwa ni tishio kwake. Membe ni mmoja kati ya watu...
  2. M

    Mwanakijiji na Uislamu wa TAA/TANU mpaka CCM

    Naomba nitoe mtizamo wangu kuhusu hali ya siasa nchini Tanzania na ambavyo watanzania wa dini kuu mbili yaani Uislam na Ukristo tumekuwa tukitumika kama ngazi ya Chama tawala kujihalalishia kuendelea kuwepo madarakani. Moja kati ya mambo ambayo CCM imekuwa ikiyatumia kama mtaji wa kuendekea...
  3. M

    Exclusive: Ripoti ya Uchunguzi wa Vifo Tarime - Marehemu walipigwa mgongoni wakikimbia

    kitendo cha mbunge wa tarime mh. nyambari nyangwine kushambuliwa kwa kutupiwa mawe inaonyesha kabisa kuwa watu wale kwa ujumla wao hawana imani na CCM pamoja na serikali yake, lakini pia support waliyoipata CHADEMA katika kushughulikia swala hili inaonyesha jinsi gani wananchi wa TARIME...
Back
Top Bottom