Search results

  1. A

    Nina laptop mbili zote zina waka ila Hazidispaly on the screen

    Wadau naombeni msaada wenu maana nina vimeo viwili(Laptop) hapa, moja ni IBM Thinkpad T42P na nyingine ni Tshiba Satelite A135-S2386 zote zawaka ila hazidispaly katka screen, nimejaribu kuconnect na exeternal screen wapi, nimejaribu kubadilisha RAM ila wapi, CPU fan zazunguka, je wadau...
  2. A

    Modem ya Zantel EC168C inachakachulika?

    sasa tufanyaje ili tuweze kutumia hizo za zantel kimagumashi?
  3. A

    Modem ya Zantel EC168C inachakachulika?

    hicho kitu chawezekana wacha watu waende chimbo kwanza, mkipata teknolojia hyo tujuzane wadau
  4. A

    Modem za tiGO zina chakachulika?

    wadau sijui mwasemaje juu ya ombi langu hapo juu?namna ya juichakachua hizo modem za zantel maana wala hela sana.
  5. A

    Modem za tiGO zina chakachulika?

    wadau naomba msaada wenu maana kila siku wananikamua kishanzi hawa jamaa wa zantel na nina matumizi makubwa sana ya internet nikiwa home.naombeni mnijuze namna ya kuichakachua.
Back
Top Bottom