Search results

  1. M

    Naombeni msaada tafadhali

    Mimi nina malengo sana usinione mbumbu ndugu yangu, na wapo watu wema wanaojua wamefanikiwa kunielewesha. We endelea kuona wenzio hawana malengo.
  2. M

    Naombeni msaada tafadhali

    Nashukuru sana kwa ushauri wako ndugu yangu ni kweli nina kazi nzuri tu hapa bongo ila mashirika binafsi hawakubali ukasome 1-2yrs halafu urudi wanakuambia umejifukuzisha kazi. Nilisajaribu kuongea na HR kama nitaweza pata likizo bila malipo nikakataliwa. Na lengo langu kwenda kule siyo kuwa tu...
  3. M

    Naombeni msaada tafadhali

    Nashukuru kwa kuchangia, rafiki yangu mi maisha napambana nayo sana hapa bongo na kuhusu elimu nami nimmojawapo wa waliosoma usione mtu na malengo yake sasa na wewe unataka kuweka negativity zako. Usitake niwaze au niwe na malengo kama yako elewa tumetofautiana
  4. M

    Naombeni msaada tafadhali

    Single namaanisha naweza kumove popote duniani bila kipingamizi chochote. Yes nataka kwenda kusoma ila Sitaki niende na Visa ya student umenipata Nina malengo yangu cha muhimu nahitaji msaada kwa anayeweza kunishauri jinsi ya kupata visa ingine. Kama siyo muelewa sioni sababu ya ku comment
  5. M

    Naombeni msaada tafadhali

    Habarini za humu ndani, nimekuja humu ndani nahitaji msaada wenu. Nimuajiriwa na nimekaa kwenye ajira muda mrefu sana na binti + single na kwa sasa nimechukua maamuzi ya kwenda nje, USA, Canada, Australia, Sweden, Norway au UK. Najua wapo wanaosoma hapa wana experience na hizo nchi tafadhali...
  6. M

    Nahitaji mume 33-40 age

    Nawashukuru wote mliochangai na jinsi mnavyonitia moyo. Nikifanikiwa nitarudi kutoa majibu.
  7. M

    Nahitaji mume 33-40 age

    Nawashukuru wote mliochangia na kunitia moyo maana kweli nahitaji mume na hili swala si la utani kabisa.
  8. M

    Nahitaji mume 33-40 age

    Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi...
Back
Top Bottom