Search results

  1. M

    Magufuli azomewa tena. Ni Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi

    Tuache porojo, kapige kura kwa umtakaye. Ukiangilia mtu kazomewa au kashangiliwa utapotea maana wanaozomea hawafiki 10000. Wanasiasa hayo walishayazoea kabisa. Mfano lowasa alizomewa sana miaka 7 na 8 iliyppita sasa anashangiliwa. Hiyo ndio Siasa na changamoto zake
  2. M

    Nimeamini 65% Wananchi wameichoka CCM

    ulipita mitaa gani, maana huku kwetu ukipita unashangiliwa
  3. M

    UDSM chapaa Afrika;sasa cha sita!

    ni kweli mtaani university ni ngumu, lakin hayo ni maisha mengine yenye taratibu zake
  4. M

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    Tusubiri uchunguzi wa Daktari, ila kwenye sheria kama itagundulika kwamba huyo Lulu alimsukuma, then atapelekwa na chaji ya Mauaji, kwasababu, kuna kitendo kusukuma( Actus Reus) hichi tu hakitoshi kunatakiwa kuwe na Nia Ovu( Mens Rea), hivyo huyu binti asingekuwa na nia ovu, baada ya Kanumba...
  5. M

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    R.I.P Kanumba the Great
  6. M

    Jamani Tigo

    Ni wiki sasa UDSM Mawasiliano ya simu kupitia mtandao wa Tigo imekuwa shida. Ombi kwa Mainjinia na Wamiliki wa Tigo kama huwa mnapita kwenye hizi foramu mfanye hima maana hali si shwari.
  7. M

    Mbunge Mussa Khamis Silima afariki Dunia

    Rest in peace.
  8. M

    Ni uwendawazimu kupandisha bei ya mafuta ya taa, maji

    Nimekulia kijijini, sikuwahi ni sijawahi kutumia nishati ya umeme kijijini kwetu. Nimekuwa nikitumia Kuni au mkaa kupikia. Hutumia mafuta ya TAA kupata mwanga wakati wa Usiku. Sasa mafuta yanapanda bei mara saba (kodi), Kipato kinapungua. Nifanye nini nipate wa kunitetea?
  9. M

    Tetesi: UE kwa UDSM, 28/6/2011

    Semista= siku 120, lectures= 30hrs, 2hrs/week, Seminar=15hrs, 1hr/week. Sasa wakibadili muda, baadhi ya modules hazitasomwa. Huo ndo uelewa wangu.
  10. M

    Kabila gani, watu wake wanaongoza kuwa Facebook!?

    Nia na madhumuni ni yapi, kuna faida gani kwangu kutoa data hzo pia kuna faida gani kwako na kuna nini kitakachofanyika baada kujua?
  11. M

    Nafasi za kazi may 2011

    Ahsante mkuu kwa kutujuza. Kazi kwetu wenye vigezo kuchuana/ kuwania
  12. M

    Msiba wa kusikitisha!!!!!!!

    Poleni wafiwa kwa msiba mzito uliowakumba. Mungu awaongoze katka kipindi hiki kigumu mlichonacho kwa kuondokewa na wapendwa wenu.
  13. M

    Happy Birthday Maxence Melo LIVE LONGER!

    Happy b.day Jf founder (THE BIG INCHARGE), How old a u?
  14. M

    Jinsi mende alivyotaka kunitoa uhai

    Pole ndg kwa mkasa uliokukumba.
  15. M

    John tendwa(msajili wa vyama) atafuna million 56.9-cag

    Sheria ichukue nafasi yake na kuepusha urafiki kuchukua nafasi kwenye swala kama hili la Wizi.
  16. M

    Sijafungwa kitambaa usoni - Spika

    Tatizo uchaguzi wa spika ulitawaliwa na mawazo potofu ya kuvunja rekodi kuwa na Spika wa kike badala ya kanuni husika za kumpata sipika. Sasa hayo ndo matokeo na bado mengine mtayaona zaidi.
Back
Top Bottom