Search results

  1. dibbo

    Gari inauzwa fasta

    Ikizima hio hata uvute na tractor haiwaki yani ni full kimeo
  2. dibbo

    Nissan caravan for sale

    Haifai boss wangu
  3. dibbo

    Nissan caravan for sale

    Nauza nissan caravan Model 2002 A/T, AC,CD, power window 5 doors Ipo Tanga bei ni 12,500,000 maelewano yapo Pls contact 0784367367
  4. dibbo

    Ninaunga mkono Israel kuitetea na kuilinda nchi yao ya AHADI

    Nyie mnaetaka wapalestin wauwawe matakua ni punguani sio bure, kumbe humu pia vichaa wamo
  5. dibbo

    Salim Ally tajiri Arusha anashangaza watanzania

    Wakuu mbona habari za kuaminika kabisa, huyu salim ally ameshafariki leo asubuhi kwa ajali ya gari nchini yemen amefariki yeye na mke wake pamoja na mtoto wadogo wa kiume
  6. dibbo

    Mufti Simba una hoja ya kuwajibu Watanzania

    NI MSIMAMO WA WAISLAM WOTE KWANI SASA NINI????...... Tulimwona na kumsikia mufti bin simba akiwaonya CHADEMA kuhusu tukio la DC fatma kimario (mkristo safi) kwani ameolewa na mkristo. alivaa ushungi wala si hijabu. hata mimi hua na vaa kanzu lakini si muislam. halafu yakaibuka makundi mengine...
  7. dibbo

    Nini faida ya mirungi na hasara zake?

    Wana jf naomba mnipe faida na hasara za mirungi aka gomba
  8. dibbo

    Kwa wa arusha na moshi

    Wanaotaka soda ya Azam cola ctn moja ni sh 6000 inakua na chupa 12 zenye ujazo wa nusu lita,na azam malta ipo ya flaver ya apple na pinaplle inakaa chupa 12 kwa ctn na ina ujazo wa nus lita bei ni sh 8500 nipigie number 0767366367
  9. dibbo

    Natafuta frame ya duka(Arusha)

    Habari zenu wana jamii natafuta frame ya duka yenye ukubwa wa square mtr 200 hata kama yapo maduka mawili ambayo yameshikana na yanaweza kuunganishwa yanafaa muhimu ukubwa uwe 200sqm,kwa yoyote alionao anipigie number hii 0715367367
  10. dibbo

    Mfanyabiashara mkubwa Arusha mbakaji Mkubwa

    Ni muhindi gani huyo?
  11. dibbo

    Watanzania jiungeni zaidi kibiashara na nchi za Kiarabu

    Mkuu mbona ukiskia neno waarabu unapandisha mzuka sana,walishakubandua kunako nini...?pole sana haha haha haha haha
  12. dibbo

    Jamani hii ni bongo??????

    Hizo ni 15000 za kibongo
  13. dibbo

    tuna DIAGNOS MAGARI AINA ZOTE

    Bei ni 50000 ukija mwenyewe na ukifatwa around town ni 60000 wakuu
  14. dibbo

    Oven ya kuoka mikate

    Ninazo oven mbili,moja ya kurotate na nyingine ya deck,nipigie 0715367367
  15. dibbo

    tuna DIAGNOS MAGARI AINA ZOTE

    Tunakagua matatizo ya magari aina zote,european,asian and americans kwa kutumia diagnosis tool,tupo arusha oilcom sakina kwa mawasiliano piga number 0715 367 367
  16. dibbo

    Kwa wa arusha na moshi

    Jumla ni kuanzi ctn 50,chini ya ctn 50 bei ni 25500
  17. dibbo

    Kwa wa arusha na moshi

    Juice ukitaka nitakuletea pia,nipigie kwenye 0767366367
  18. dibbo

    Kwa wa arusha na moshi

    Nipo Oilcom sakina,karibu na machinjioni,pale ndio kituo
  19. dibbo

    Kwa wa arusha na moshi

    He he he....no me na agent wa hio product kwa arusha na moshi
Back
Top Bottom