Search results

  1. sweetdada

    Je, una experience ya sales kwenye printing and designing?

    typing error poleni, nimemaanisha 21 to 30 years
  2. sweetdada

    Je, una experience ya sales kwenye printing and designing?

    Anahitajika kijana wa sales mwenye vigezo vifuatavyo: Kuanzia umri wa miaka 21 hadi 30 Aweze kutafuta wateja wa printing, designing, event management, social media management Awe tayari kulipwa Tshs. 200,000 kwa mwezi kama allowance, na 10% commission akileta biashara Awe na experience ya sales...
  3. sweetdada

    House4Sale House for sale at Kigamboni

    Five bedrooms 80% completed Location: Chekechea, Kibada, Kigamboni Plot size: 1460 sqm Price : 150,000,000/= negotiable
  4. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilivyowaelewa unachagua 2 utakazo. Sijui lakini sijajaribu.ndo nineiona leo hiyo channel
  5. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna channel nimekutana nayo katika pitapita zangu telegram inaitwa mikeka ya kibabe..sijui kuweka link ningeweka hapa
  6. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zalgiris vs fk panevezys over 2.5 Al ain vs al nasr riyadh over 2.5 2.80 (Lithuania , saudi arabia ) Saarbrucken vs meppen over 2.5 Dinamo minsk vs Smorgon over 2.5 2.30 (Germany , belarus ) Slovan liberec vs zbrojovka brno 1ft Glenavon vs warrenpoint 1ft 2.26 (Czech , N.ireland )
  7. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngoja nitupie odds nilizokutana nazo Iran Teraktor Sazi – Sanat Naft Abadan FC Tip: 1ft Azerbaijan Gabala – Sabah Tip: GG Kazakstan Aktobe – Kaisar Kyzylorda Tip: 1ft
  8. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau katika pitapita zangu nimekutana na mbinu nzuri ya kutengeneza 1m kwa siku kumi. Kizuri kula na mwenzio.
  9. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Alafu ndo nililipuka duh nimelala nacho leo
  10. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuh hii imechana. Sijaelewa yaani goalkeepers wote wawili wameshika mpira mmh
  11. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndo mana. Mi nilichukua kama ilivyo
  12. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona mi niliweka nikapata loss 😑
  13. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kuna mdau anaitwa Yohana469 ndo amerusha hizo odds
  14. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sijui mahesabu yao ya cashout yakoje
  15. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh kumbe, nilidhani hiyo 80M ni pamoja na bonus. basi hilo behewa la mechi 41 likitiki kanji atalia
  16. sweetdada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Maximum payout ya betpawa ni 80M zaidi ya hapo hawatoi
  17. sweetdada

    Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

    shukran mkuu. ngoja nianze kuoga chumvi duuh i wish ningejua kitambo
  18. sweetdada

    Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

    Asante. duh kumbe nyota inaweza kuvutwa tu from nowhere. sasa je kama imevutwa ndo itakuwa hivyo milele? au kwa kutumia chumvi nitarudi kwenye hali ya zamani?
Back
Top Bottom