Search results

  1. Sis wa ukweli

    Hawa Mbona Wanafanana?

    watu wambea jamani
  2. Sis wa ukweli

    Wanawake wa kimanyema na kijita nini sababu

    Wana sifa moja tu, awana mila potofu
  3. Sis wa ukweli

    MR & Mrs

    Babu lao, upo na kabinti. Unaweza msaidia Mr kulisukuma kabati? Au wewe na vibinti vidogovidogo
  4. Sis wa ukweli

    MR & Mrs

    Kifo cha mende, akina darasa. Huduma za jamii zitafanyika tu. Wasiwasi wangu zile huduma za kiserekasi za kutojua kichwa kipo wapi, mgongo upo wapi.
  5. Sis wa ukweli

    Night Clubs for Overweight People

    Umuhimu wako hapa JF, ni kama huu Sijui kwa nini walikutupa selo Kweli, vibonge tuwe na Club yetu Ila umeme wa Bongo sijui itakuaje, viyoyozi vikiwa avifanyi kazi. Full kupumuliana.
  6. Sis wa ukweli

    Kwamtoro nipo huru, week moja kama miaka kumi

    Asante Mungu, Kwamtoro nakuzimikia
  7. Sis wa ukweli

    Makali ya umeme, chanzo cha milipuko ya makombora Gonga la Mboto

    Makubwa, wewe Said Mwema au Mwenyekiti wa tume. Acha ubabaishaji
  8. Sis wa ukweli

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

    Helo helo, wera wera. amumpotoshi mtu hapa kwa manufaa ya matumbo yenu
  9. Sis wa ukweli

    Hodi Hodi, poleni kwa makombora

    Nilikuwa siyo member ila nilikuwa napita pita mara kwa mara.
  10. Sis wa ukweli

    Hodi Hodi, poleni kwa makombora

    Asante! Nashukuru wewe kuwa wa kwanza kunikaribisha, Wengine wame ni PM.
  11. Sis wa ukweli

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

    Kwani Arusha kuna kombati ya chama ata moja ililegwa risasi, acheni kuwarubuni watu kwa masilai yenu binafsi. Watu wafe mtengeneze majina yenu. Aku! mimi sipo kabisa
  12. Sis wa ukweli

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Nitumie picha yako
  13. Sis wa ukweli

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

    Hapana, mimi sishauri, wewe ni mwanasiasa. Familia yako na wewe mtakuwa salama. Tutakao kufa ni sisi. Nguvu ya uma aifai. Ushidwe!
  14. Sis wa ukweli

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Presidaa na Chimbi walee! Wapo verry smart.
  15. Sis wa ukweli

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Kama vimabomu vya Gongolamboto mpaka Rais aende, Rais wa somalia atenda mara ngapi? Mwacheni Rais ale keki ya Taifa.
  16. Sis wa ukweli

    Hodi Hodi, poleni kwa makombora

    Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko. Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu. Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani
Back
Top Bottom