Search results

  1. M

    Natafuta mume

    nimekuelewa sana dada, ila naomba ni'bargain' kidogo, umri haupungui?
  2. M

    Kibaha Secondary kiboko wagomea mock exams

    Kibaha mmetisha, 2nahitaji wa2 km nyinyi. Hivi majala, kachingwe kaselenge, kashbaba na luanda aka bizman bado wapo? Au yupo muya na andersoni tu!
  3. M

    Dhana ya ulumbi, msimbo na launi?

    Ulumbi ni uwezo wa kumpiga m2 saundi, au kushawishi kwa maneno, hiyo ni ktk kiswahili cha kisasa
  4. M

    Natafuta mwarabu wa kumuuzia eneo kwa ajili ya sheli

    Hivi sielewi km akili zako zinakamata tbc au clouds! Kuuza eneo hadi mwarabu, au una biashara nyingine, weka wazi.
  5. M

    huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI?

    Hapo nimekuelewa ndugu, 2mechoshwa na bunge la "wanafiki waseme ndiooo!...ndiooo!" hawa mafisadi na mama yao pale mbele wanapenda sana kutuburuza, hata kwenye soka inatokea refa bila kumtia jambajamba hatendi haki, japo hatumpigi! Bravo lema!
  6. M

    Jamani hii ni soda gani? Fanta au Mirinda?

    Hivi ndugu unaona wanajf wote watoto? Au unadhani hatuna mambo ya maana ya kujadili? UMECHUKUA CHUPA YA MIRINDA ORANGE, UKAPACHIKA KIZIBO CHA FANTA, halafu unajiita great thinker, cjui ndyo ubunifu? Pole
  7. M

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Nilisahau kukuuliza km ana tatizo la kutokwa na damu. Km fibroid ipo lkn haitoki damu anaweza kusubiri, akaweka malengo ya kupata mtoto kabla ya operation. Bt kikubwa ni kwamba atahitaji kuuondoa huo uvimbe si mapema sana bt wkt itakapokuwa salama zaidi kufanya hvyo. Mpe pole zangu
  8. M

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Matibabu inategemea na profile yako, i mean umri, umeshapata watoto, bt in short kuna dawa (Gnrh agonist) km gosereline zinapunguza size ya fibroid. Tiba kamili ni operation myomectomy wanafungua uterus kuondoa huo uvimbe, kw wamama waliokamilisha familia hysterectomy kuondoa kizazi.
  9. M

    natafuta mpenzi

    Dogo ungeenda kusoma 2 kwanza, mabinti hawaishi, pia u didnt need kusema tht unaenda kusoma "nje" nchumbiji! ili upate mke, au ndo sound zako hzo? 2ambie bac unaenda kusomea nini if at all it matters. ..kijungu nini bana?
  10. M

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Wanataka mambo ya tunisia hawa, maisha magumu bado tena mnatuchoma?
  11. M

    How to use JamiiForums effectively

    Thanks jf, new member
Back
Top Bottom