Search results

  1. M

    tuliosoma St. Kayumba tujikumbushie enzi zetu

    Dah, hii imenikumbusha mbali sana!!! wakija walimu wa upe shule inageuka kambi ya jeshi! Mtawahi namba kwa kengele 3,ya kwanza saa 12 kamili,ya pili 12.15 na ya tatu 12.30. Ukaguzi wa kidumu cha maji,mfagio na wakati mwingine kuni,mbolea,au maua. Long time kitambo.....
  2. M

    Magazeti ya nje kuhusu mabomu

    Tafadhali wanahabari,msichukue taarifa za kuambiwa na hou wanaojiita wasemaji wa serikali,jeshi,n.k. Jaribuni kuzihakiki kwa kufuatilia kwa karibu na kuthibitisha kabla ya kuziweka hewani. Tunawategemea sana wanahabari kwa taarifa sahihi.
Back
Top Bottom