Search results

  1. M

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    doctor kwa Kiswahili anaitwaje? kama ni mganga basi hana kosa
  2. M

    Ndoto za urais za Makamba na Mwigulu zaanza kufutika

    mambo ya nje, mambo ya fedha
  3. M

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    suluhisho ni kuboresha shule za uma.
  4. M

    Shule binafsi acheni wizi, mnapata faida kubwa sana

    kwa mchanganuo wako unaoyesha hauna jengo .labda wasomee chini ya mti.
  5. M

    Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    tra futeni misamaha yote , haina tija kwa taifa. msisahau kuwa kuna wa tz wengi tu hawana dini
  6. M

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    hii move ilianza kitambo,
  7. M

    Wafanyakazi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni wagoma

    mwajiri wa mkandarasi ni katibu mkuu
  8. M

    Maandamano (nyomi) ya kutisha yaliyowahi kutokea

    haifikii ya mrema 95
  9. M

    Dr. Slaa: Vikao vya Sekretarieti kwa maandalizi ya CC ya CHADEMA vinaendelea

    sasa gamba halionekani maana limevishwa gwanda
  10. M

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    EL ni dhaifu , ameshindwa kutekeleza wajib wake akiwa kama mtendaji wa serikali [w/mkuu] kwa kumuogopa mkuu wake, ilipaswa auvunje mkataba wa richmond au angejiuzulu ,
  11. M

    Wasifu wa Godbless Lema (MP)

    Umesahau kwani alipogombea 2005 alishinda lakini alivuta millions kwa Felix ili akubali kushindwa. 2010 dau lilikuwa dogo kakataa.
  12. M

    CHADEMA ni akina nani?

    niliwahi sikia kuwa ni mtei na bob makani, then makani (amefariki) na mtei akamwachia mkwewe mbowe, mbowe nae akamwita shemejie ndesa.
  13. M

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    Amakweli wewe ni ndundu, inamaana unampangie marafiki? awe huru kuwa karibu na yeyote yule. siasa sio uadui?
  14. M

    Msaada: Nifuate taratibu gani kuanzisha nchi huru kanda ya ziwa?

    tena MARA ndiko alikozaliwa MWL nyerere. Vipi tena? wenyewe mnajisahau mkififika dar mnatafuta kujenga kimara bonyoka,mbezi msakuzi, halafu unalalamika. Turudi makwetu jamani? hata kama kijijini nenda kajenge hukohuko.
  15. M

    Zitto, Lipumba na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA

    Wengi hawaonekani kwenye maandamano ya cdm, muulize pia Mnyika, shibuda acha kumsakama zitto, hivi wote waende kuandamana shughuli za chama zitafanywa na nani?
  16. M

    JK apata mshituko juu ya ongezeko la bei ya vyakula; aagiza serikali kuingilia kati

    Upo sahihi kabisa. sio km hawa wachangiaji wa cdm. bure kabisaaa.
  17. M

    JK apata mshituko juu ya ongezeko la bei ya vyakula; aagiza serikali kuingilia kati

    Wewe unapenda sana chai. jiulize umeifanyia nini serikali na siyo ikufanyie nini?
Back
Top Bottom