Search results

  1. A

    Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

    Mimi nataka mashine ya poporcon namba yangu ni 0712106090
  2. A

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    watz kila kitu tunaogopa mtu hata kulima hajalima anasema soko hakuna na huku hata hajawahi naulizia soko lake
  3. A

    Nini cha kuzingatia wakati unahojiwa na Police.

    Dar Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
  4. A

    Nini cha kuzingatia wakati unahojiwa na Police.

    Kuwasiliana na binti sio kosa...kosa ni endapo ulionyesha nia ya kumtaka au ulionyesha vishawishi vya kumfanya yy mwenyewe akupenda....pia huyu binti ni mwanafunz au binti wa aina gan? Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
  5. A

    Nini cha kuzingatia wakati unahojiwa na Police.

    Mdaada zaid 0712106090 nitakusaidia zaid Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
  6. A

    Nini cha kuzingatia wakati unahojiwa na Police.

    Tusimpoteshe mwanasheria police anaenda kufanya nn?? Mwanasheria police hatakiwi kuongea chochote zaid ya kuangalia jinsi wanavyokuhoji...na wakati mwingine police wanaweza mfukuza....polis wanahitaji kukuhoji ww na sio mwanasheria wako....mwanasheria wako sehem pekee anaweza ongea badara yako...
  7. A

    Nini cha kuzingatia wakati unahojiwa na Police.

    Jibu unachoulizwa kama unakijua waelezee,, jiamini, wape ushilikiano askr kwa kile wanachotaka kutoka kwako, usiwadanganye askr maana ni kosa la jinai, zingatia mda wa kufika na kama kuna tatizo wambie nina tatizo kidogo nitachelewa askr wetu ni waelewa na watakuelewa,, hiv ndo vitu vya msingi...
  8. A

    Vitu ambavyo ulidhani ungeweza kumbadilisha mpenzi au mke/Mme lakini umeshindwa

    Nilizani nitambadilisha kupenda sex ila nimeshindwa mke wangu hapendi sex toka uchumba mpaka sasa...pia nilizani nitambadilisha ili awe mlokole wa kawida ila nimeshindwa anazidi kuwa mlokole hadi kelo.
  9. A

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda

    Huna uhakika na unacho andika ungekaa kwanza ww na hao waliokupa hizo habar mjadiliane mpate uhakika alafu ndo uandika na utoe hizo lawama ila kwa sasa nakuona kama unaota na huku unatembea
  10. A

    Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

    Pole sana ila acha hasira..mme anakuja kwa process...
  11. A

    Kuendesha gari Tanzania ni kukaribisha umaskini wa kupindukia

    Mnalalamika tu hamtaki kufata sheria ambazo mmezitunga nyie wenyewe ndani ya nchi yenu naomba hii faini ingekuwa hata laki moja....kila siku watu wanakufa kwa sababu ya kuendesha gar pasipo fata kufata taratibu..ungefata hizo taratibu za barabara ungelipa hiyo hela? achen kulalamika bila kuwa...
  12. A

    Kwa msaada zaid Soma hapa

    0712106090 Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
  13. A

    MSAADA: Vitu gani unatakiwa kuvilipia kodi airport

    naomba kujua ni vitu gani vinatakiwa kuvilipia kodi? Mfano kama unatoka nchi za njee ukishuka pale airport na mizigo unatakiwa ulipe kodi? Na ni vitu vip ambavyo vinatakiwa uvilipie kodi?
  14. A

    Msaada Pumu ya ngozi (Eczema dermatitis)

    Pole sana mm mwenyewe nilikuwa na hili tatizo nimesumbuka sana kama mwaka na zaidi hizo sindano za diprofos nimechomwa sana ila zenyewe unapona kwa muda alafu hali inarudi kama mwazo...kama upo da nakuomba uende tegeta kuna hospital inaitwa Rabinisia kama unatoka mwenge panda gar za bunju shuka...
  15. A

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Jibu la uhakika atalitoa baada ya uchunguz kukamilika.
  16. A

    Wasichana wanaobanwa sana kwenye shule za boarding ni rahis kuwapata

    kwangu mm dem hata kama ni mzr sana nikimuaproch na akawa mwepes kwangu huwa namdharau sana na namuona ni wa kukurupuka.
  17. A

    Serious man needed baadae awe mume

    Ww lete tu hizo sifa zako na miaka inaenda itafika wakati utahitaji mme na sio sifa tena
  18. A

    Wafanyabiashara ndogondogo Ubungo wachoma daraja la Ubungo moto

    Huu ni ujinga daraja na biashara wapi na wapi wakati mwingine maneno ya lowasa elim elim elim yaana ukwel wake..ni aibu kubwa kuona taifa kama tz tena masikini watu wanafanya ujingaa huu hawa ndo watu wa kufungwa na kuwaachia vibaka ambao wanakwapua simu kwa ajir ya kupata pesa
  19. A

    Napenda sana wanaume warefu weupe

    Duh safi sana huyu umri baado
Back
Top Bottom