Search results

  1. M

    Shule za msingi zinafungwa lini?

    Wadau naomba kujua hivi shule za msingi za serikali zinafungwa tarehe ngapi? I mean mwisho wa mhula wa pili 2013 ni lini?
  2. M

    Lema awashauri wakristo wa Kaloleni kutokwenda kanisani tarehe 16 Juni ili washiriki uchaguzi

    Wangetajwa waislam hapo ingekuwa noma lkn kwakuwa wametajwa wakristo basi utasikia hatumwamini mleta mada. Acheni hizo!!!!!!!!!!!!!
  3. M

    Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

    Kama huna la busara la kuchangia siunyamaze tu kuliko kuandika pumba?
  4. M

    Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

    Tatizo tayari wanamajibu vichwani mwao na wanataka yawe hivyo, ikiwa kinyume na matarajio yao utawasikia wakilalama. Maandiko yanasema "Kamwe hawatawaacha mpaka mfanane nao" Naamini Mungu atadhihirisha ukweli juu ya hili, hakuna mtu anayefurahia watu wakifa ama kuumizwa lakini pia inauma sana...
  5. M

    Kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nani atawajibika kwa madhara yaliyotokea?

    Hii ni sawa na kusema kuwa wachezaji wameshindwa kufunga magoli sababu kuwa goli ni dogo hivyo unawatanulia goli ili wafunge vizuri. Haya ngoja tusubiri matokeo yauchakachuaji sijui wale waliochora Messi inabidi nao wapewe maksi?
  6. M

    Kauli ya Maaskofu kwenye Kikao na Rais Jakaya Kikwete kilichofanyika Ikulu 23.04.2013

    Nyie kinawauma nini? Udini mnauendekeza ninyi
  7. M

    UEFA CL 2013 Semi-finals, 2nd leg :R Madrid v B Dortmund & Barcelona v Bayern M

    FT Real Madrid 2 - 0 Borussia Dortmund LiveScore.com : Soccer Live Scores
  8. M

    UEFA CL 2013 Semi-finals, 2nd leg :R Madrid v B Dortmund & Barcelona v Bayern M

    90' Real Madrid 2 - 0 Borussia Dortmund http://www.livescore.com/
  9. M

    Filamu ya Ray iitwayo 'Sister Marry' yapigwa marufuku na maaskofu

    Bora uwaeleze wamezoea chokochoko hao kila uchao. Kweli kilaza hafundishiki
  10. M

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Hii tu inatosha kumuondoa kwenye hiyo nafasi manake haimudu. Hivi angeulizwa maswali angeweza kujibu? Jamaa kilaza kweli manake Historia ya Tanzania haihitaji usome mahali.
  11. M

    USIPITE HEBU soma HAPA

    Siku zote mnakataa ukweli mbona hao wapo wengi tu!
  12. M

    TB Joshu atabiri tena

    Waambie hao wagumu kuelewa, wote washirikina tu
  13. M

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Hapo wale waheshimiwa wanaopenda udini ndani ya JF watakaa kimya.
  14. M

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Wewe ni miongoni mwa walewale wanaoteswa na pepo wa udini
  15. M

    JK amteua Saada Mkuya Salum kuwa mbunge

    Kuna watu humu ndani wana pepo wa udini.
  16. M

    Azikwa akiwa hai Mbeya

    Dah! hakuna utu kabisa
  17. M

    Dada nafasi hiyo chukuwa

    Ila kiswahili kinakupa shida Husiwe, huwe ndo nini?
  18. M

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Huyu spika kwakweli ni janga la Tanzania, anajidai alitaka kusema jamaa yako akasema jambazi wako kwani hata Mnyika na Mbowe wana ujamaa gani? Huyu mama hajiamini kabisa nae anastahili kujiengua tu.
  19. M

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Sasa tunaelekea kubaya, Mzee Mtei unaonyesha chuki za wazi kwa waislam japo kwa majina! kama ndio mawazo uliyonayo hayo basi utatupotosha sie tulio nyuma yako! Kwa hili Mzee umechemka mno! Kumbe sifa yamjumbe wa tume ni pamoja na dini yake? Mmh mnatupeleka wapi? HAPANA MZEE FIKIRIA MARA2 kabla...
Back
Top Bottom