Search results

  1. Smartmind

    Mabinti wa kileo

    Tusaidiane wote kaka hawa ni wadogo zetu wote.
  2. Smartmind

    Mabinti wa kileo

    wanawatumia au wao ndo wanatumika, hiyo shughuli si mchezo kaka, ni tamaa tu na uzembe wa kijiwezesha.
  3. Smartmind

    Mabinti wa kileo

    Tena mbaya zaidi wanaanza na umri mdogo sana. ukimuona utaona huruma ukidhani anaonewa au anaumia kumbe wapi.
  4. Smartmind

    Mabinti wa kileo

    Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa madesa na kumsaidia assignments, ana mvulana handsome boy anayempenda wa kutoka naye out huyu ni...
  5. Smartmind

    Jina........

    Nashukuru sana wadau kwa msaada wenu nayafanyia ntarudi kuwapa feedback muda c mrefu.
  6. Smartmind

    Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

    Mungu ailaze roho yake mahala pema na mwanga wa milele amuangazie, ampe pumziko la moyo. tutakukumbuka daima dear.
  7. Smartmind

    Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

    Mungu ailaza roho yake mahala pema na mwanga wa milele amuangazie, ampe pumziko la moyo. tutakukumbuka daima dear.
  8. Smartmind

    Jina........

    Haya mwajuu.
  9. Smartmind

    Jina........

    Nashukuru sana kwa mchango wako.
  10. Smartmind

    Mke wangu ananifuatilia FB

    Kawaida ya wazinzi huwa hawajiamini, anadhani anayoyafanya yeye na we ndo hivyo, we sema nae tu polepole atakuelewa coz ni mkeo na unampenda nina hakika uta,badilisha.
  11. Smartmind

    Jina........

    JINA tu, idara zote niko kamili kwani we hujisikii vizuri japo kuchangia kwa hilo ndugu angu???
  12. Smartmind

    Jina........

    Habari zenu wadau. Jamani wadau wa humu ndani, mimi nataka kuanzisha kituo cha kusaidia watoto wa mitaani. na wewe mdau nakupa nafasi ya kuchangia kidogo unipe mawazo ni jina lipi litumike kwa kituo hiki? TUWAPENDE NA KUWASAIDIA WATOTO/WADOGO ZETU.
  13. Smartmind

    Fumanizi

    duh ya kweli hayo?
  14. Smartmind

    Hatimaye Nimevunja mwiko...!

    Hongera sana kumshinda ibilisi kishawishi, ila hujavuka, kaza boot.
  15. Smartmind

    Fumanizi

    Mume ni mwenye suit, mke yupo kitandani.
  16. Smartmind

    Fumanizi

    Hapo vp!!!!!
  17. Smartmind

    Fumanizi

    Ingekua wewe ungechukua uamuzi gani hapo?
  18. Smartmind

    Ni vigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza!

    mke mkeo bwana, humegewi ukumridhisha.
  19. Smartmind

    Sisi tumeumbwa kusamehe au ni ujinga na utumwa?

    Jaman wadau mi najiuliza hata sipati jibu wenzetu majuu mwanaume akiku-cheat mara moja tu hiyo ndoa ndio byebye, hata kama ni miaka 2 nyuma ukijua leo ndo imetoka hiyo...... lakini huku kwetu ishakua jambo la kawaida wamaume kila siku leo karuka na mdogo wako, kesho shoga, mtondo jirani, jana...
  20. Smartmind

    Naumwa

    Get well soon best!!!!
Back
Top Bottom