Search results

  1. Buseresere

    JamiiForums Usiku wa manane

    Njoo huku
  2. Buseresere

    Husband is needed

    Karibu vitu vyote unavyo vihitaji vigezo ninavyo, isipokiwa hilo la sogea tuishi kwanza, nafungaje ndoa sasa pasipo kufahamiana vizuri.
  3. Buseresere

    Wanahitajika vijana wa kufanya mauzo ya bidhaa

    Habari Tanzania, Natumia muda huu kuongea machache hapa na ninyi wapambanaji wenzangu. Kuna kampuni mpya inayojishughulisha na shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbali mbali za vyakula, na kwa kipindikifupi sokoni lakini imefanikiwa kukuza brand yake katika masoko mbali mbali ndani na nje ya...
  4. Buseresere

    Tunatengeneza website, online Store na platform nyinginekwa bei nafuu

    Kama unahitaji kupata website au online Store, na professional emails tupigie tukuhudumie kwa bei nafuu . Huduma zetu ni za uhakika na haraka. Karibuni Simu 0763152615
  5. Buseresere

    Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Nahitaji, familia nipo mimi na mchumba wangu, hatuna watoto, ni kwaajili ya kusaidia kazi za ndani pamoja na ujasiliamali wa viungo vya chakula salary 100k, Nipo Dar es salaam Tuma msg kwa 0763152615
  6. Buseresere

    Natafuta sehemu ya kufungua biashara ya Kitimoto

    Mmi nipo Dar es Salaam, ninatafta sehemu nzuri na yenye wateja ninapoweza kufungua biashara ya jiko la kitimoto. Simu 0763152615.
  7. Buseresere

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Themi enterprises Watengenezaji na wasambazaji wa viungo vya chakula, kwa jumla na reja reja. Tupigie kwa 0763152615 au 0686747276 Karibu tukuhudumie
  8. Buseresere

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Themi enterprises Watengenezaji na wauzaji wa viungo vya chakula kwa jumla na reja reja, Tupigie kwa 0763152615
  9. Buseresere

    Nyumba ya kulala wageni Jijini Dar hususan maeneo ya Kinondoni

    Kama ww unahitaji kuja kuishi jijini Dar es salaam, na huna pahala pa kufikia eleza hapa ili upate kusaidiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Buseresere

    Magufuli anatosha, atawale muda mrefu

    Hacha waendelee kujipendekeza lakini hawatovuna chochote zaidi ya kuendelea kupiga makofi2
  11. Buseresere

    Magufuli anatosha, atawale muda mrefu

    Ww unafikiri kwakutumia nn asee, maana naona fikra zako kama vile zimefika mwisho mbele unaona giza2
  12. Buseresere

    Nawezaje Kutambua mahali ilipo simu kwa kutumia IMEI au serial number

    Habarini za leo wadau. Naomba msaada jinsi gani naweza kupata simu yangu iliyo potea kwa kwa kutumia IMEI number, niliibiwa simu na mkoba wa laptop ukiwa na document muhimu sana. ahsanteni
  13. Buseresere

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habarini za kazi, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale...
  14. Buseresere

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habarini za kazi, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale...
  15. Buseresere

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    nimekuelewa mkuu, lakini tatizo hili lilianza kunisumbua toka nikiwa mdogo sijamaliza hata kidato cha nne, na hata nilikuwa sijamjua mwanamke, pia sivuti sigara wala sinywi pombe
  16. Buseresere

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Habarini za kazi, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale...
  17. Buseresere

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    mimi ni nkijana mwenye umri wa miaka 31, nimeoa na kwa sasa tunazaidi ya mwaka mmoja katika ndoa yetu, ila nimekuwa natatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa mda sasa, kila nikishafanya tendo la ndoa na mke wangu, yale maji maji yake huwa yananiwasha, na kupelekea kujikuna lakini hata nikioga...
Back
Top Bottom