ni kweli buku nane kwa siku halaf wateja unatafuta jua kali balaa matenti yao kama watu wa simu hawajali kama mtu una degree yako unalost pale u wont see urself growin in career wise unazungukuka madukani uswahilini yan unakuwa kama wauza mabesen na degree yako
jamani advans bank acheneni nao maana ukienda wankupigisha training ya miezi mitatu na unalipwa 8000 kwa siku na kila mtu lazima upige prospection jua kali ni wanyonyaji sikushauri uende kama u r expecting something big then ukimaliza miezi mitatu wanakulipa 350000 niambie maisha ya mjini ulipwe...
kwa kweli hali ya wanasheria wahitimu inakera nimegraduate mwaka jana nimevolunter weeee mpk n imechoka tena bora now nimeona niende mzumbe nikasome hr cz hali mbaya hii course jifikirie mara mbili ukienda kusoma na nina gpa nzuri ila duh hali si hali
thats the most civilized thing for a person to do but putting myself in that situation lol!!i wonder if i would return that money!!!!what i heart!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.