Search results

  1. K

    Scholarships ya ICT kwa Watanzania mwaka wa masomo 2012

    Habari wanaJF! Naomba radhi kwa kupost thread hii kwenye jukwaa hili. Ila nimatumaini yangu kuwa itawafaa na wengine wanaotafuta kazi hasa nafasi za masters . Fungua hii link kwa for more details Tanzania Scholarships Ahsanteni
  2. K

    Msaada kupata dakika 15,30,45,nk toka airtel

    NI KWELI HUDUMA HII MI MWENYEWE NILIKUA NAITUMIA ,KAMA MWEZI SASA INASUMBUA SANA ILA KWA WENGINE BADO INAKUBALI. Jaribu kwa kufungua sehemu ya kuandikia ujumbe mfupi, andika J250 kama unataka dakika 15...
  3. K

    Naombeni msaada wataalam wa kudowload vitabu kwenye internet

    Wakubwa Habari zenu! Samahani sana naomba kufahamishwa kama kuna namna yeyote ya kuweza kuaccess vitabu online maana napata sana shida vitabu vingi vinafunguka but wamevizuia kudownload. Nawasilisha ombi langu kwenu.
  4. K

    Mtatiro anasemaje kuhusu hatma na Upepo huu unaovuma CUF Live on STAR TV

    ZA ASUBUHI SALAMA YAHAYA! AWALI YA YOTE MI NI KATI YA WANANCHI AMBAO NI WAFUATILIAJI WA VIPINDI VYENU,KIPINDI CHENU NI NZURI SANA,ILA NINA WASIWASI WATU WENGI KAMA WAFANYAKAZI,WANAFUNZI N.K AMBAO KWA MUDA KAMA HUU WAKO BIZE KUTAFUTA SHILINGI HAWAWEZI KUFUATILIA, NAPENDEKEZA KINGEFANYIKA...
  5. K

    NAOMBA MSAADA WENU WATAALAMU WA SIMU ZA SUMSUNG GT-3212i

    Ni DNS kaka kama ulivonicorrect. Ahsante sana ndugu yangu,ngoja nikacheki settings.
  6. K

    NAOMBA MSAADA WENU WATAALAMU WA SIMU ZA SUMSUNG GT-3212i

    Habari zenu wana jf! Nawaombeni sana ndugu zangu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kuondoa tatizo kwenye simu yangu SUMSUNG GT 3212i. Tatizo:kuna wakati it may take 10 seconds inaandika dsn unavailable sasa inanikera sana,plz kama kuna mtu anaijiua vizuri anisaidie namna ya kuiset. Nimejaribu...
  7. K

    Jaji Warioba: Sioni kwanini tusiwalipe DOWANS pesa zao....

    Wan jf habari zenu! Kimsingi mi na mawazo tofauti kidogo na wote wanaopinga Dowans isilipwe,nchi yetu inafuata utawala kisheria,na kwa kuwa kila mhimili una kazi yake kikatiba,mahakam kuu imeshakazia hukumu ya dowans kwamba ilipwe pesa zake. 1.hapa nchini uamuzi wa mahakama unaweza kupingwa...
  8. K

    Natafuta trekta

    MTM hongera kwa kuona umuhimu wa kuwekeza kwenye kilimo ambayo ndo uti wa mgongo katika nchi yetu.Una wazo zuri sana la kununua trekta lakini nadhani ingekuwa vizuri ungespecify aina gani,made where n.k but kama huna uzoefu kabisa na matrekta,TAFUTA MASSEY FERGUSON MF 165,MF 265,MF 175 na...
  9. K

    Job opportunities.

    poleni sana ndg zangu! ucjal lipelekeni suala hilo tume ya upatanishi na usuluhishi /Commssiion for mediation and arbitration (CMA),pale karibu na wizara ya kazi,shuka kituo cha akiba.natumaini kama mna haki zetu ambazo mmenyimwa mtapewa tume ikibaini kuna kasoro ktkt kuwaachisha kazi! kila...
  10. K

    Nimeambukizwa magonjwa ya zinaa na mpenzi wangu wa chuo kikuu (nisaidieni cha kufanya)

    E bwana serengeti pole sana ndg yangu,mi nakushauri muende wote hospitalini ili mtibiwe wote then muendelee na uhusiano wenu kumwacha siyo suluhisho la tatizo,pia elewa kuwa kuna baadhi ya magonjwa ya zinaa yanaambukizwa hata kwa kushare choo au maji maji ya yenye wadudu wa ugonjwa kama kaswende...
  11. K

    Pinda amvaa Lowassa: "Kuvunja Baraza" yataka moyo!

    mmmh Watz bana!kwa hiyo hata kama ipo iachwe tu kwani hujui ni 50 yrs after colonial domination?mi nashangaa kwanini zipo !Pia unataka kutuaminisha kuwa kitu hata kama madhara yake yako wazi tuendelee nacho tu kisa kilikuwepo tangu ukoloni,shame on you!Hata kama utasema zipo kisheria,basi hiyo...
  12. K

    Computer inauzwa

    nakushauri uweke estimates costs yake.
  13. K

    Watanzania kuonja shubiri ya mafuta ya taa wiki hii

    EeehWanaJF kuongeza bei ya mafuta ya taa 1500 hadi 1900 ni nafuu kweli kwa mlala hoi wa vijijini au kwa wafanyabiashara? Mwaka jana nakumbuka kuna mbunge (sikumbuki wa chama gani) alisimama bungeni akatoa huo ushauri wa kuongeza bei ya mafuta ya taa naona huo uamuzi ndiyo utekelezaji wenyewe...
  14. K

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    GHOST RYDER naomba uweke uwaz manzese /magomeni ni kubwa sana,ukiamua kutuma post tusaidiane kufahamu 1 ni dawa gani inatibu kabisa hayo matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume? 2 inapatikana duka gani au wapi specifically? 3 ushahidi wa watu iliowahi kuwatibu NB:nakubaliana na we kuwa wamaasai...
  15. K

    Kenya yaongoza ubora wa vyuo vikuu afrika mashariki

    Wana JF naomba kuuweka wazi utafiti nilioufanya kwenye mtandao kuhusu ubora wa vyuo vikuu vilivyoko katika nchi 3 za jumuiya ya Afrika mashariki.Nchi ya Kenya inaongoza kwa kutoa vyuo vikuu 12 bora kati ya ishirini miongoni mwa nchi hizi 3 za EAC. vigezo vilivyotumika kwa mujibu taarifa za...
  16. K

    Wana jf nisaidieni kupata kazi jamani

    Wana jf baadhi ya comments zinakatisha tamaa!naomba niweke wazi kuwa karibu wote wanaotafuta kazi kwa kupaza sauti ni watoto wa watawaliwa na wanyonywaji ktk nchi hii,KUMSHAURI AKAANZISHE BIASHARA NI KUMPIGIA DEBE MBUZI.MTAJI ATATOA WAPI?NAPATA WASIWASI KUNA WATU BADO HAWAJUI MAANA YA UFUKARA NA...
  17. K

    Moshi Chini ya CHADEMA: Yajipanga kulipia wanafunzi wa sekondari ada

    mmmmh hiyo kauli ya mkurugenzi haina mashiko kabisa,MBONA ANASAHAU KUWA WAKATI WA NYERERE VIGOGO WENGI WALISOMA BURE!WAKATI ULE KUNGEKUWA NA WAKURUGENZI WAVIVU WA KUFIKIRI KAMA MAMA KINABO WANGEWEZA KUFIKA HAPO ? Mi nadhani ingefaa kuridhia na kuona namna gani hiyo sera inaweza kuenezwa...
  18. K

    Matokeo ya kidato cha sita yatangazwa.

    Ubarikiwe mkubwa kwa update yako!ngoja 2kaangalie wale maginius waliotoka kata wamevuna nini!
  19. K

    Message from Gadaffi to Africans

    "..........., never realizing that in America, there was no free medicine, no free hospitals, no free housing, no free education and no free food, except when people had to beg or go to long lines to get soup." NATO HAWANA CHOCHOTE WANACHOPIGANIA ZAIDI WIVU +MAFUTA TU MAANA GADAFFI KAWAPIGA...
  20. K

    Bongo nako kuna Wahafidhina japo ni wachache

    Nini maana ya kihafidhina na kiliberali? Tafadhali msaada wako
Back
Top Bottom