Search results

  1. M

    Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    Hayo si majibu mazuri kwa mwenzi wako wa ukweli hata kama hakukushirikisha walati wa kununua ilo gari. Ndoa ni sehemu tu ya maisha na si maisha. Hivyo huyu mwanaume atakuwa na shida tayari, na asipo angalia wazee wa mjini wata anza kumfunulia mke muda si mrefu.
  2. M

    Marriage Soft ware

    you did a very good job really. The same message would be brought to Jf viewers via other means and it wouldn't impress majority as it does. This is the power of intellectual property, that lets use various approaches to deliver the same message to all sociaty in a fantastic way. I appreciate...
  3. M

    Lowassa aiteka CC na NEC...

    Mhh. I see. EL is a great and committed man, who would lead the country where we would like to be. Leave alone scandles that cause him to step down. but sincerely speaking he is the man who will bring changes to the country. Think of the vey few months that he rulled as PM, compared to other PM...
  4. M

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Mkuu, Igunga kuna kata ngapi? sithiemu wataiba cdm wasipo kuwa makini, kaba man2man mpaka kieleweke. Mdee fanya kazi, tumechoka na sihasa chafu. Good keep it up mama.
  5. M

    HIP HOP na chama chenye madaraka

    mkuu umekosea. wanatumia masabuhuri kufikiria.
  6. M

    Mume kamkuta mkewe na love bites kwe makalio yake, ushauri unaitajika kulinda ndoa

    Ndoa ni makubaliano ya watu2 ivyo, is a complex structure. sasa mkuu msamehe tu, inawezekana alishagundua kuwa mwanamme si rijali so anataka kuleta heshima ndani. Ila sasa hicho kidume, kinanyonya mpaka makalio, means kanyonya hata keikei? very dangerous indeed.
  7. M

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mkuu acha akako katabia, maanake baada ya muda mrefu, hautaweza kusimamisha tena hata milele. kwani ulianza je mpaka kujichua mtoto wa kiume? Hii ni dalili ya ukosefu wa maadili, nenda kwa ndodi akakuombee mara moja.
  8. M

    Hii ni aibu Marine Hassan!

    Fe lady uko poa mbaya. Marine alikuwa ex-friend wako au? Lakini mjanja wa kimombo, akutanishwe na Mr Adamu simbeye, tv live.
  9. M

    Musterbation hufanyikaje? Je ina madhara gani kwa watumiaji ?

    Mkuu! milupo ilivyojaa tz, unafikiria kunyetooo? au umechoka kk ivi unataka kuonja ya kunyeeetuo? Kaaaazi kueli kueli. Achana na hiyo biashara, vumilia kama uwezi oa mke mwema. uko hapo mkuu?
  10. M

    Tahadhari.. Mwanaume kama huyu ni hatari!

    We mama. kwani wamekufunua wangapi ndo uweze kujumuisha kwa wanaume wote? In statistics, n (sample) must be greater or equal to 30. ww uko wapi sasa? otherwise hauko sahihi.
  11. M

    Comedy Movies.

    Nimependa pozi lako 2.
  12. M

    doctor saidia hapa please

    Daugther pozi lako nimelipenda mbaya, hope unafaa kunonino. may i have you phone number please?
  13. M

    Naumwa sana na uume

    Sasa mkuu unategemea docta wa Jf akuambie nini? na utajuaje kama aliye andika ni dactari wa ukweli na c wa kuchakachua? Go to hospita and seek for professional advice. Labda kama unapepo la mapenzi - also possible
  14. M

    Rafiki yangu anataka nifanye tendo la ndoa na mkewe!

    Mkuu hiyo na dalili kuwa majaribu yako mengi kwako na unatakiwa kuwa makini sana upon your decisions. Usijaribu hata siku moja kufanya mapenzi na mke wa mtu. Hakuna ujamaa katika tendo la ndoa. mwambie kuwa; imani yangu hainiruhusu kufanya hivyo, amtafute mtu mwingine. because, ukianza tu kulala...
  15. M

    Tatizo la kukujoa mkojo wa njano

    Kunywa maji mengi mkuu. Drink water and save "bia"
  16. M

    Elections 2010 Kikwete alitukuta hivi, katuleta hapa; atatuachaje 2015?

    Tatizo watanzania wengi hatuko tayari kuelewa, na hii nchi itauzwa na watu wake wote. Hali ni mbaya sana na hakuna mtetezi, Mungu ibariki Tanzania.
  17. M

    Raha lakin mbona naumia?

    Je umeoa? au huyo msichana unatarajia kumuoa au kumchezea? Basi hiyo ni adhabu toka kwa Mungu, unatakiwa kuacha kufanya mapenzi mara moja kabla ya ndoa. umenipata mkuu?
  18. M

    Bachelor of Rural Development

    Kaka pole. rural planning bongo ilona wapi? ww kapige uje fundisha sekondari za kata.
  19. M

    Raha ya Maisha ni nin?

    raha ya maisha ni peace of mind asikudanganye mtu.
Back
Top Bottom